mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,915
Mwanasheria hawezi kumsaidia mteja wake mpaka kwanza yule mteja aeleze ukweli wote. Baada ya hapo huyu wakili anaanza kutafuta njia ya kuficha huo ukweli. Namuunga mkono mkulu washikishwe adabu kwa kutaka kuficha ukweli na kuzuia haki isitendeke.Nani wakudhibitisha kua huyo mtu ni mhalifu