Rais Magufuli: Mawakili wanaowatetea wahalifu waliokutwa na ushahidi nao wawekwe rumande ili wakome

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Rais John Magufuli aliyaongea hayo jana alipokuwa akiongea kwenye sherehe za uzinduzi wa mwaka mpya wa sheria, alisema kuna watu wanakutwa na ushahidi wa wazi kabisa lakini kuna mawakili wanaoenda kuwatetea, mawakili hao wanatakiwa kuwekwa rumande waonje joto ili hata wakitoka wajifunze kutokutetea wahalifu...

Hii ni kauli ya kisela sana !
 
Wawaweke ndani afu waone ..
Ni uvunjifu wa sheria.
Katiba n sheria vinasema mtuhumiwa yeyote wa jinai anatakiwa kuwa na wakili tangu polisi.
Na hata wauaji wote hata kama kaua hadharani lazima awe na wakili. Na kama hana wakili sheria inailazimisha mahakama kumpa wakili....
Na atamtetea bila kumdai malipo na wakili atakayekataa ama kuzembea anaweza hata kufutiwa leseni.
Chekeleeni tu.
Afu huyo polisi atakayemuweka ndani wakili si lazima amfungulie kesi?
Atamfungulia kesi gani?
Na siku hao wanasheria wakionewa na polisi wakiamua kuwashughulikia polisi kwa fani yao inakuwaje?
 
"Hata akija yule wa kumtetea ikiwezekana nae muunganishe huko huko"

Nimeelewa ya kuwa ni mtu maarufu ataekuja kumtetea na sio vingine.
Hapo amegusa vimemo nafikiri
 
Back
Top Bottom