Rais Magufuli: Majambazi wenye silaha wakamatwe haraka

MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
22,715
Likes
49,546
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
22,715 49,546 280
Leo katika shughuli ya ufunguzi wa kituo cha kisasa cha mawasiliano cha polisi katika kukabiliana na uhalifu, Mh. Rais Magufuli amewaagiza polisi kwa msisitizo kuwa mnapowakamata majambazi wenye Silaha muwe mnawakamata haraka huku akisisitiza nadhani mnanielewa.

Mimi binafsi nimefurahishwa sana na agizo hilo maana majambazi yamezidi kiasi kwamba inatishia usalama wa nchi.
 
Akasankara

Akasankara

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Messages
2,058
Likes
2,149
Points
280
Akasankara

Akasankara

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2015
2,058 2,149 280
mmmh! ngoja waje sasa wajuzi
 
kimbugu

kimbugu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
418
Likes
125
Points
60
Age
26
kimbugu

kimbugu

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
418 125 60
na polisi akimpokonya jambazi silaha.. asipelekwe mahakamani.. bali apandishwe cheo
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
22,715
Likes
49,546
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
22,715 49,546 280
Dawayao hao ni kuwamaliza kimya kimya kama zile enzi za zile Defender TZR
Wananchi tunataka kusikia majambazi kadhaa walijeruhiwa wakati wa majibizano ya risasi na polisi lakini walifia njiani wakati wakiwahishwa hospitali, full stop
 
iJamii

iJamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Messages
1,892
Likes
1,235
Points
280
iJamii

iJamii

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2015
1,892 1,235 280
Leo katika shughuli ya ufunguzi wa kituo cha kisasa cha mawasiliano cha polisi katika kukabiliana na uhalifu, Mh. Rais Magufuli amewaagiza polisi kwa msisitizo kuwa mnapowakamata majambazi wenye Silaha muwe mnawakamata haraka huku akisisitiza nadhani mnanielewa.

Mimi binafsi nimefurahishwa sana na agizo hilo maana majambazi yamezidi kiasi kwamba inatishia usalama wa nchi.

Huo msisitizo alioutoa akamalizia NADHANI MMENIELEWA kwa mtizamo wa jicho la 3. Inaonyesha kuna makubaliano ya awali baina ya rais na hao polisi
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
22,715
Likes
49,546
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
22,715 49,546 280
Muwakamate haraka na polisi atakayewakamata haraka asipelekwe mahakamni, bali apandishwe cheo. Tuliopitia jeshini, tunaelewa maana yake.
Mkuu hiyo maana yake hiyo ndiyo hata wananchi tumeipenda maana tatizo litaisha kabisa badala ya kupungua
 
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Messages
3,277
Likes
5,823
Points
280
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2012
3,277 5,823 280
Mods mtaniua kwa ban haki ya nani, mbona comment mliyoshikilia ni ya kawaida sana.
Muwe na huruma jamani!
Juzi tu nimemaliza ban, leo mkinipiga tena si balaa!
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
22,715
Likes
49,546
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
22,715 49,546 280
Mods mtaniua kwa ban haki ya nani, mbona comment mliyoshikilia ni ya kawaida sana.
Muwe na huruma jamani!
Juzi tu nimemaliza ban, leo mkinipiga tena si balaa!
Kwi kwi kwi pole mkuu kwi kwi kwi kwi
 
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
13,505
Likes
3,932
Points
280
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
13,505 3,932 280
Yes wawe wanawakamata haraka maana sasa imekuwa balaa huku mitaani
 
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Messages
5,338
Likes
7,114
Points
280
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2014
5,338 7,114 280
Kuna MTU anachekaaaaaaaaa
 
M

manywangari jean malonkwa

Senior Member
Joined
Mar 17, 2016
Messages
193
Likes
188
Points
60
M

manywangari jean malonkwa

Senior Member
Joined Mar 17, 2016
193 188 60
Mods mtaniua kwa ban haki ya nani, mbona comment mliyoshikilia ni ya kawaida sana.
Muwe na huruma jamani!
Juzi tu nimemaliza ban, leo mkinipiga tena si balaa!
Mkuu mm mwenyewe ndo namaliza kuugulia maumivu ya ban! Pole xana!
 
O

Olecranon

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
1,371
Likes
431
Points
180
O

Olecranon

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
1,371 431 180
Leo katika shughuli ya ufunguzi wa kituo cha kisasa cha mawasiliano cha polisi katika kukabiliana na uhalifu, Mh. Rais Magufuli amewaagiza polisi kwa msisitizo kuwa mnapowakamata majambazi wenye Silaha muwe mnawakamata haraka huku akisisitiza nadhani mnanielewa.

Mimi binafsi nimefurahishwa sana na agizo hilo maana majambazi yamezidi kiasi kwamba inatishia usalama wa nchi.
Mmmm, isije ikawa hao anaowaambia wakamate majambazi haraka wakawa ndio majambazi yenyewe!
 
Rhobi1961

Rhobi1961

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2015
Messages
892
Likes
667
Points
180
Age
57
Rhobi1961

Rhobi1961

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2015
892 667 180
Ngoja tusubiri watetezi wa haki za binadamu watuambie hata jambazi ana haki ya kuishi.
 
Forum statistics

Threads 1,235,459
Members 474,585
Posts 29,222,826