Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,668
- 40,914
Sasa unaleta stori nyingine ambazo hazihusiani hata na mada yako.Kwani "anaponunua" viongozi wa Chadema, ndivyo Katiba ya nchi inavyomtaka afanye hivyo?
Sasa unaleta stori nyingine ambazo hazihusiani hata na mada yako.Kwani "anaponunua" viongozi wa Chadema, ndivyo Katiba ya nchi inavyomtaka afanye hivyo?
Mzee huyu ni mnafiki sana. Hana msimamo, tujifunze siasa za Bongo sio za kuingia nazo na miguu yote miwili unaweza kuumbuka.
Akili za kawaida tu unashindwa kutambua kuwa serikali ya umoja Zanzibar ipo kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar?Mbona mkuu chagu wa malunde unakimbilia matusi?
Nyinyi maccm mnaposhindwa kwenye hoja mnabaki kutoa mapovu!
Mkuu hivi inaingia akilini kwamba Mh. Seif Hammad ni mtu wa kuganga njaa? I don't think so.
Nurudia kusema Mh. Seif atakuwa mtu wa msaada mkubwa katika kuijenga Zanzibar kiuchumi akiwa ndani ya Serikali ya Zanzibzar kuliko akiwa nje ya Serikali - my opinion.
Juzi katukanwa na kutishiwa kunyimwa mafao kisa kamunyima mafao Shein, leo anasifiwa.Amani wakati kuna makaburi mabichi yatokanayo na uchaguzi
Babati sijakuelewa, ebu eleza vizuri, nani katukanwa, nani kanyimwa mafao? IlikuwajeJuzi katukanwa na kutishiwa kunyimwa mafao kisa kamunyima mafao Shein, leo anasifiwa.
Uko sahihi kabisa with few others like Mbowe!Ni nani aliwaambia kuwa Maalum Sefu ni Mpinzani? Kazi yake ni kama ya Mrema, Marando, Membe n k. Mpinzani wa kweli Tanzania ni Tindu Antipas Lissu. Mark my words
Itabidi aina hii ya mbinu iliyobuniwa hapa itafutiwe 'patent', kwani najua nchi nyingi za kiafrika zitakuja kunakili mbinu hii.Pale Shahidi Mkuu wa ICC anapoamua kukaa kikao cha kunywa damu ...
Habari za haraka haraka zinasema Museveni Uganda kafanya copy and paste kama Magufuli ...uchaguzi leo kila kitu wamezima na matokeo watasoma kama walivyofanya kina Mahera
Mahera na timu yake tayari wako huko .....wakitoka ngoma inaenda kuibiwa huko Zimbabwe
Halima Mdee alikuwemo kwenye orodha hiyo, hadi alipofanya vituko vya ajabu sana!Uko sahihi kabisa with few others like Mbowe!
Sijui kwa nini unamwacha Lowasa na yule mwenzake waziri mkuu wa marehemu Mkapa!Ni nani aliwaambia kuwa Maalum Sefu ni Mpinzani? Kazi yake ni kama ya Mrema, Marando, Membe n k. Mpinzani wa kweli Tanzania ni Tindu Antipas Lissu. Mark my words
Nimetaja tu wachache Mkuu. Hao walikuwa briefly tu Waliodumu kwenye upinzani ambao ni system na upinzani wanasonga kifua mbele eti nimepata bingo. Wapinzani ni vichwa vya wendawazimu. Sijui huwa wanawaza kwa kutumia nini. Hivi kweli mtu kama Membe ambaye alishakuwa mpaka boss Usalama unachukua na kumpa nafasi? Sema ni kwa kuwa Zitto na Mwalimu Sefu wote ni wamoja na walikuwa kazini.Sijui kwa nini unamwacha Lowasa na yule mwenzake waziri mkuu wa marehemu Mkapa!
Haaa mwambieSwali mmoja je walioiba kura nao ni wazalendo? Mbona interest anazosema ni kwa upinzani tu je wanaoiba kura wana interest za nchi au ni kukundi binafsi?