Sawa ilitakiwa aende yy na ww km mtanzania una haki ya kuhoji lkn unapaswa kutambua kazi ya uongozi zina miongozo yake, mm na ww hatujui sababu ya yy Kutohudhuria na kumuagiza waziri mkuu kwenda kushiriki.Jamani tuwe wazalendo sio kila jambo ni la kuhoji, hii hojihoji zenu ndio zinazotufikisha hapa nakumbuka Rais mstaafu jk alikuwa anasafiri sana nje mnakumbuka mlikuwa mnamwitaje?Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.
Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.
Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.
Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?
Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.
Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.
Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.
Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.
View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350