Sina neno zuri la kukupa zaidi ya pole....official ndiyo kitu gani? Ni biblia siyo kwamba haiwezi kutenguliwa? Aibu aibu kuzarau utu na utamaduni wako....Ujifunze hata kwa wengine duniani...hakuna nchi ambayo imeweza kuendelea bila kuthamini utamaduni wake moja ikiwa lugha yake....Ukiona mtu anashabikia lugha ya watu ni kithibitisho tosha kuwa huyo mtu hajiamini kwa jambo lolote katika maisha yake...Lugha yetu official ni kimombo mzee ndio maana mama yetu wa zenji anakichapa safi, kutema yai kunahitaji ujuzi kanda ile kwanza kisw tu hamjui nenda Katafute Ile kimombo ya Rwanda utacheka hadi ufe puuzi ww kama kimombo kile unakisifia basi nadhani shule huna mzee Domo kubwa km kisima bn