Rais Magufuli kwa kukubali hili la njaa si udhaifu bali ni hekima

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,967
Kama tetesi zinavyosemekana kuwa Serikali ITASAMBAZA chakula na imeanza KUTATHMINI situation ya njaa nchini hasa maeneo (Mikoa) ambayo HAIAKUPATA ama ina dalili za ukame.

Hili ni jambo la BUSARA sana na si jambo la kuonyesha UNYONGE wa serikali yako.
Jambo hili ni beyond your government ability yaani halikusababishwa na serikali yako bali ni MABADILIKO ya hali ya hewa.

Na serikali KUKUBALI kuwa sehemu zingine hazina chakula cha kutosha KITANYAMAZISHA mjadala huu and put this debate to rest. Na hakuna tena wakukulaumu.
Maana kama serikali umefanya sehemu yako na WANANCHI wafanye sehemu yao ambayo mvua zikinyesha WALIME mazao ya muda mfupi.
I think that is great.
Kudos President Magufuli

Hivi malumbano yoooote yasiyo na msingi yalikuwa ya nini? Trivial issues kila upande kushupaza shingo sio dalili njema.

Kama tetesi zinavyosemekana kuwa Serikali ITASAMBAZA chakula na imeanza KUTATHMINI situation ya njaa nchini hasa maeneo (Mikoa) ambayo HAIAKUPATA ama ina dalili za ukame.

Hili ni jambo la BUSARA sana na si jambo la kuonyesha UNYONGE wa serikali yako.
Jambo hili ni beyond your government ability yaani halikusababishwa na serikali yako bali ni MABADILIKO ya hali ya hewa.

Na serikali KUKUBALI kuwa sehemu zingine hazina chakula cha kutosha KITANYAMAZISHA mjadala huu and put this debate to rest. Na hakuna tena wakukulaumu.
Maana kama serikali umefanya sehemu yako na WANANCHI wafanye sehemu yao ambayo mvua zikinyesha WALIME mazao ya muda mfupi.
I think that is great.
Kudos President Magufuli
Hoja yako haieleweki, Muheshimiwa alikwisha sema hagawi chakula, serikali haina shamba sasa huo uchochezi unautoa wapi?

Tani milioni 1.5 x 10 ni sawa na magunia 15 milioni. Je ni kweli serikali inauwezo ya kutunza kiasi hicho.
Mwenye akili atajua ukweli.

RAIS MAGU NI JEMBE SANA. TUNAMPONGEZA KWA KULIWEKEA UTARATIBU MZURI SUALA HILI
Bendera fuata upepo
Aliposema hatoi chakula,hakuna njaa ulimsifia sana
Sasa anatathimi hali ya njaa na kutoa mahindi ya akiba kukabiliana na njaa,upo juu ya mnazi unamuimbia mapambio
Ukisikia akili ya kushikiwa ndio yako
Never had an original thought in your life

Hoja yako haieleweki, Muheshimiwa alikwisha sema hagawi chakula, serikali haina shamba sasa huo uchochezi unautoa wapi?
Unajua Binadamu HUJIRUDI. Huwezi kuwa na msimamo mkali siku zote. Na kwa ushauri mzuri mtu hubadilisha nia na mtazamo.

Kama tetesi zinavyosemekana kuwa Serikali ITASAMBAZA chakula na imeanza KUTATHMINI situation ya njaa nchini hasa maeneo (Mikoa) ambayo HAIAKUPATA ama ina dalili za ukame.

Hili ni jambo la BUSARA sana na si jambo la kuonyesha UNYONGE wa serikali yako.
Jambo hili ni beyond your government ability yaani halikusababishwa na serikali yako bali ni MABADILIKO ya hali ya hewa.

Na serikali KUKUBALI kuwa sehemu zingine hazina chakula cha kutosha KITANYAMAZISHA mjadala huu and put this debate to rest. Na hakuna tena wakukulaumu.
Maana kama serikali umefanya sehemu yako na WANANCHI wafanye sehemu yao ambayo mvua zikinyesha WALIME mazao ya muda mfupi.
I think that is great.
Kudos President Magufuli

Hakuna mwaka ambao nchi kubwa kama tanzania yenye kanda tofauti za hali ya hewa utategemea kwamba mvua zitanyesha evenly nchi nzima, watu watapata pembejeo zote kwa wakati na watavuna na kuweza kuhifadhi chaakula chote bila matatizo. Upungufu wa chakula ni jambo ambalo ni la kawaida kwa sababu nyingi zikiwepo za hali ya hewa, za kijamii, na majangambali mbali kama ukame, mafuriko, wadudu waharibifu wa mazao, ukosefu wa pembejeo kwa wakati n.k

Kuwa na upunguvu wa chakula kwa baaadhi ya sehemu za nchi ni jambo ambalo serikali inatakiwa kulichukulia kama changamoto, kwa kutathimini sababu haswa za upungufu huo ili kujiwekea mikakati ya hali hiyo kutokujirudia rudia. Wanasiasa wote wanaochukulia suala la upunguvu wa chakula kama agenda ya kisiasa wanakosea sana, wakati wananchi wanahitaji a quick intervention ya serikali na wadau wengine, jambo hili si la kuzua mijadala isiyo na tija wakati waathirika wa hali hii wanahitaji chakula

Ukisema hakuna njaa mbele za watu tena kwa sifa kejeli,halafu ukaja ukatangaza kuwa utagawa chakula kwa watu walewale basi tafsiri yake ni kuwa ADA YA MJA NI MANENO NA ADA YA MUUNGWANA NI VITENDO

Serikali haigawii mahindi bure ila itauza kwa wafanyabiashara wakubwa ili kushusha bei ya mahindi, kuna upotoshaji wa maksudi unaofanyika, zoezi la serikali kuuza mahindi yaliyo kwenye maghala ni zoezi la karibia kila mwaka dhumuni ikiwa ni kushusha bei ya mahindi.

Kuna tofauti kubwa kati ya njaa na chakula kuwa bei juu, kukiwa na njaa serikali inagawa mahindi bure ila sicho kitakachotokea na hakuna baa la njaa Tz saivi.

Ukweli ni kwamba kuna ukame katika sehemu kubwa ya nchi ambao kwa miezi ya mbele kuna weza kuwepo upungufu mkubwa wa chakula. Hata hivyo ukame wa sasa hauwezi kuwa ndio njaa yenyewe kwa sababu lazima tukubali kwamba mwaka jana karibia sehemu zote nchi walipata mavuno ya kutosha. Kwa takwimu za serikali na wapinzani zinaonyesha kwamba kulikuwa na ziada ya chakula kiasi kwamba wabunge hususan wa upinzani walikuwa wakishinikiza serikali iruhusu wananchi kuuza mazao yao nje ya nchi.
Sasa iwapo chakula kilipatikana cha kutosha kipi kinasababisha njaa inayotangazwa na wapinzani?? Je hata kama mvua ingelikuwa imenyesha kwa kiwango cha kutosha tangu Novemba hadi sasa kuna mkulima angelikuwa ameshavuna mazao yake sasa hivi???
Serikali inatambua kwamba kuna ukame ndio maana inasisitiza wananchi kulima mazao yanayostahimili ukame. Lakini serikali pia ina uhakika kuwa hali ya chakula nchi si mbaya maana kuna chakula cha kutosha.
Serikali ikitangaza njaa kuna madhara makubwa yatatokea ambayo yatamuumiza mwananchi:
a. Kutatokea mfumuko wa bei ambao utanufaisha wafanyabiashara ambao watapandisha bei ya nafaka kwa kigezo cha kwamba kuna njaa.
b. Kuna wafanyabiashara wanaweza kuficha nafaka ili kutengeneza uhaba wa nafaka kwa ajili ya kupandisha bei.
Binafsi nakubaliana na serikali kusisitiza kuwa hali ya chakula ni nzuri kuna nafaka ya kutosha. Kumbukeni nchi hii kuna watu hawana huruma na watanzania wao kutafuta maslahi hata kama ni kwa kuumiza wengine. Tuache ushabiki wa kushabikia watu wanao tafuta maslahi yao.

Naomba kuwasilisha
By Lubebenamawe

Kama tetesi zinavyosemekana kuwa Serikali ITASAMBAZA chakula na imeanza KUTATHMINI situation ya njaa nchini hasa maeneo (Mikoa) ambayo HAIAKUPATA ama ina dalili za ukame.

Hili ni jambo la BUSARA sana na si jambo la kuonyesha UNYONGE wa serikali yako.
Jambo hili ni beyond your government ability yaani halikusababishwa na serikali yako bali ni MABADILIKO ya hali ya hewa.

Na serikali KUKUBALI kuwa sehemu zingine hazina chakula cha kutosha KITANYAMAZISHA mjadala huu and put this debate to rest. Na hakuna tena wakukulaumu.
Maana kama serikali umefanya sehemu yako na WANANCHI wafanye sehemu yao ambayo mvua zikinyesha WALIME mazao ya muda mfupi.
I think that is great.
Kudos President Magufuli
Uko sahihi mkuu.

Back
Top Bottom