msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,189
Vitambulisho mzee vinanakuangusha, watu wako huku wanawabana wauza mkaa, wachoma mahindi, waziba puncher, wachoma chips, wauza karanga.
Habari ipo hivi, juzijuzi mkuu wa wilaya ya Kaliua alikuja maeneo fulani hivi akasema ameagizwa watu wote wanaojishughulisha na biashara yoyote wachukue vitambulisho kwa shilingi elfu 20,000 na ni lazima, usipochukua usifanye biashara yoyote au ukamatwe.
Mkuu wa wilaya "lazima mchukue vitambulisho kwa kuwa rais anawapenda "
Kama ni kweli rais umeagiza hivyo huku watu wameanza kukushangaa na wameanza kugeuka maadui zako, Maana watu walishangaa kweli nakuanza kuguna.
Huku ni kujichimbia kaburi.