Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,556
- 3,741
HahahaAmeenda kum-visit mwanae jesca na sio mengine
Vilazaz walishaondolewa udomAnaongea na aliowaita vilaza
Hivyo Jesca hajadisco?!Ameenda kum-visit mwanae jesca na sio mengine
Bila shaka asingeweza kama leo hii kuna watu wako hospitalini kisa tu walizimia.Hivi yule mgombea mwingne wa urais 'mzee wa mafuriko' angeweza kuhimili vile vishindo vya mizinga 21 ya maadhimisho ya muungano kule dom jana??
Wataangalianaje kivipi?Hebu muacheni Rais wetu akaongee na vijana.Ndio faida ya makao makuu kuwa DodomaSiku ya ijumaa tarehe 28/04/2017 saa tatu kamili asubuhi, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuongea na umma mkubwa wa wanafunzi wa chuo kikubwa na chenye udahili mkubwa kusini mwa jangwa la Sahara (UDOM).
Hii ni kwa mara ya kwanza tangu Rais aingie madarakani! Kwa suala hili masomo yataanza saa sita mchana mara baada ya Rais Magufuli kuondoka.
Sijui wataangalianaje!!!!
Nahisi waziri wa utumishi pia atakuwepo!!
Wataangalianaje kivipi?Hebu muacheni Rais wetu akaongee na vijana.Ndio faida ya makao makuu kuwa Dodoma