Rais Magufuli kuwaapisha Mawaziri wawili na Mabalozi watatu aliowateua hivi karibuni

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,801
11,961
1580129620534.png

Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli atawaapisha Mawaziri wawili na Mabalozi watatu aliowateua hivi karibuni. Mabalozi hao wataiwakilisha Tanzania katika vituo vya Geneva-Uswisi, Tokyo-Japan na New York-Umoja wa Mataifa. Ni kuanzia saa 10:00 jioni ya leo Januari 27, 2020
 
Daah unakuwa kamishna unapiga Dili unapewa ubalozi New York au Tokyo japani
Na saza hapo sijui umeshushwa cheo au umepewa nafasi ya kwenda kutumia mzigo uliokwapua
Kweli siasa ni SAYANSI na Sanaa ya kudeal na watu
 
Dau alipiga akapongezwa ubalozi Malaysia,apambani na ufisadi bali upambana na wasio na chapa yaani waliokinyume nae,mtu safi asingemtupa ASSAD mzalendo na mwadilifu aliyepigwa figisu sababu ya kupinga ufisadi na upigaji wa awamu ya 6 uliofichwa gizani kwa kuminya uhuru Wa habari na kuzuia ukosoaji.
 
No mtoa hoja mawaziri hawa wataapishwa na jaji mkuu(waape kulinda na kutetea katiba ya nchi) ooops sio jaji mkuu ila wataapa kwa our no 1 (kuonyesha utii kwake),safari yetu bado sana!!
 
Daah unakuwa kamishna unapiga Dili unapewa ubalozi New York au Tokyo japani
Na saza hapo sijui umeshushwa cheo au umepewa nafasi ya kwenda kutumia mzigo uliokwapua
Kweli siasa ni SAYANSI na Sanaa ya kudeal na watu
Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi.Riziki mafungu saba.Walisema wahenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom