Rais Magufuli kuvunja rekodi, Tanzania kuingia Uchumi wa Kati 2021, miaka minne kabla ya lengo la 2025

Economic growth increase but economic development decrease which leads poor living standard, cost of living increases more and more
Kila nchi inapokuwa kiuchumi pengo la wenye nacho na wasio nacho huongezeka.

Cha muhimu, kwanza kabisa ni mamlaka kutazama hali ya wenye kipato cha chini wanapata mahitaji yao yote ya muhimu na lazima kwa viwango stahiki?

Mahitaji ya lazima ni kila mwananchi, aliyenacho na asiyenacho, anamudu bila matatizo yoyote kupata lishe bora yenye viwango (nutritious values) vyenye kukubalika na WHO. Kila mwananchi anamudu kupata/tiwa elimu bora yenye viwango vinavyokubalika na UNESCO. Kila mwananchi anamudu kupata/patiwa mahitaji ya matibabu yenye ubora na viwango vinavyokubalika na WHO.

Maji safi na salama, haki ya kucheza, haki ya kuabudu, haki ya kujieleza, haki ya huduma za kisheria, haki ya kusafiri upendapo bila vikwazo, haki ya kuchagua/chaguliwa, haki ya kulindwa wewe na mali zako, haki ya kutobaguliwa. Haki ya kuwa huru. Na muhimu sana ni haki ya kuwa salama na mwenye amani wakati wote bila kuwa na wasiwasi wa kupokwa haki hiyo.
 
Ila ukweli kama wasimi wetu uwezo wa kufikiri na kutofasri takwimu na maandiko unaishia hapa.
Sitakaa nimpende Mzungu ametuharibia kila kitu mpaka elimu yetu
Mtaani watu hawana hela halafu unasema pato la mtu limeongezeka toka dola 970 hadi 1026 akili kweli hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom