Rais Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

Kuna gharama kubwa sana katika kuufanya huu upuuzi.
1614193190689.jpeg

nadhani wakiondoa wale viongozi wa jiji la Dar( anaosema hawana watu wala eneo na hawakuchaguliwa na wananchi) na kubaki na moja ya manispaa ndio iwe jiji,hapa garama za uendeshaji zitakuwa zimepungua siyo kuongezeka...ila jiji la Dar lina sound vizuri kuliko hicho kitu kingine wanachotaka kuanzisha
 
Akiwa katika uzinduzi wa daraja la juu Ubungo amesema atalivunja jiji na kuipa Ilala hadhi ya jiji na wilaya zingine zibaki kuwa Manispaa.
----

View attachment 1711275


Rais Magufuli ameyasema haya

Nategemea Jiji la Dar es Salaam kulivunja na hii nawaambia hapa ili tutengeneze jiji la eneo fulani, tunaweza tukaifanya Ilala ndio ikawa jiji, ita-depend na mambo yatakavyoenda lakini kuwa na madiwani ambao wanakaa hapa juu, wanachangiwa hela, hawana miradi ya maendeleo, wanakula posho na hawakuchaguliwa na watu, hili nitalikataza.

Kwa hiyo ninalizungumza hapa, wale wanaojiandaa kuwa Mameya wa jiji la Dar es Salaam na wanakaa hawana maeneo wajue hicho kimekwisha. Tunataka Manispaa moja katika jiji la Dar es Salaam ndio ipandishwe hadhi iwe jiji halafu nyingine ziwe manispaa, ni kama ilivyo katika majiji mengine.

Kwahiyo mjiandae kisaikolojia wale waliokuwa wanataka umeya wajiji la Dar es Salaam, meya atapatikana kutoka Ilala au kutoka manispaa mojawapo ya hapa, huu ndio ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli na draft nimeshaletewa na mheshimiwa Jafo, nafikiri nikitoka huku nitakwenda kuisaini.

Ili turahisishe mambo, bajeti ya jiji ambayo haipo, fedha zilikuwa zinapotea ndugu zangu waheshimiwa wabunge, jiji la Dar es Salaam litaendelea kuwepo lakini tutachukua eneo fulani nafikiri Ilala inafaa kuwa jiji, ndio katikati ya jiji la Dar es Salaam, wewe Ubungo utasubiri kwanza kwasababu hata barabara bado hazijatengenezwa tengenezwa lakini nafanya haya ndugu zangu kwa kuangalia matumizi mazuri ya fedha zetu.
Mwiso wa Nukuu
Mwisho atasema wakuu wa mikoa hawana kazi wanatumia pesa bure kwa kazi zinazofanywa na wakuu wa wilaya maana anataka kuaminisha hakuna Dar es salam bali kuna ilala na manispaa nyengine zenye arthi rasmi
 
Nimekupa takwimu ambazo ni measurable statistics zake tunazo online

Walioko offline hakuna mwenye statistic zao,wewe and Magufuli included!

Hivyo huna chochote cha kujazia just kama mimi

Walao nimetoa takwimu za nusu ya nchi ambazo zipo online....

Sasa kama wewe unachukiwa na kudharaulika kila ukisemacho na nusu ya wananchi wako then hufai una matatizo hujui unachofanya kama population do not resonate with your ideas...

It shows you dont connect successfully with more than half of your own people

Maiti nyie...sijui akili mmeweka matakoni?

Shame on you bums!
Unajipa moyo tu
Mtumiaji mmoja was mtandao anaweza kutumia mitandao mitatu
Those statistics are measurable but not accurate
Tunahitaji accuracy

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom