Rais Magufuli kuvaa tai ya rangi NYEKUNDU na BLUU wakati wa kuapishwa na ZAMBARAU wakati wa kufungua bunge, kidiplomasia ina maana gani?

Alibadili sangap mbona tukio la kuapa lilikua moja likiunganishwa na kutoa hotuba ya kwanza kama rais mpya? Au kuna chocho aliingia sisi hatukuona?
 
Na tai za kupanda kwa mifuko ya cement na bei ya sukari kutoshuka ni za rangi gani....hebu tupate kidogo na diplomasia ya hizo vitu mzee baba
Acha masihala buana.

Suala la kupanda kwa bei ya cement limeshashughulikiwa tangu Jana. Na ni kazi ya kwanza aliyoanza nayo Mh Waziri Mkuu.
 
Alibadili sangap mbona tukio la kuapa lilikua moja likiunganishwa na kutoa hotuba ya kwanza kama rais mpya? Au kuna chocho aliingia sisi hatukuona?
Kama uliona vizuri pale uwanjani kulikuwa na kama gari lenye urefu fulani hivi lilikuwa linatembea ndani ya uwanja upande wa jukwaa la uapisho.

Kuna muda aliingia na kubadirisha kwa haraka sana. Sema mle ndani kuna watumishi wameshaandaliwa na wanajua kufanya kazi kutokana na muda.

Kubadirisha ni muda wa sekunde tu.
 
George Bush alikuwa anavaa tai nyekundu muda mwingi na vita haikumtoka mkononi mwake.

Huku kwetu naamini hakuna huo utaalam wa tai.
 
Mmh!!!

Mbona tafsiri ndefu sana ni kweli ipo sehemu imenukuliwa hivi au ni ya kuungaunga maana naona maelezo ni mengi...!!! Yaani hiyohiyo rangi/tai moja imaanishe mambo yote hayo jamani
 
Mmh!!!

Mbona tafsiri ndefu sana ni kweli ipo sehemu imenukuliwa hivi au ni ya kuungaunga maana naona maelezo ni mengi...!!! Yaani hiyohiyo rangi/tai moja imaanishe mambo yote hayo jamani
Sema katika nchi zingine huwa hawavifuatilii sana. Ni mara chache sana kuona Marekani au Canada kiongozi wa nchi ni lazima akute RED CARPET uwanjani au Airport au akiwa kwenye ziara, lakini kwa Tanznaia ni lazima Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wapite kwenye Red Capert, na ina maana sana kutokana na malmaka walizonazo.

The same hata wkenye aina ya mavazi hasa kwa siku ya kazi maalumu za kitafia.

Kwa nchi zingine utakuta wanavaa tu kama fashion ya nchi husika
 
Kuna viongozi wa nchi hawavai suti
Mwigulu anavaa kwa style yoyote inategemea na style ya suit. Kama ni American suit au France Suit au ni Germany Suit au whatever.

Ila kwa kiongozi Mkuu wa Nchi Kila Kitu kina maana.

Ukifuatilia wakati wa kuapishwa pale uwanja wa Jamhuri Dodoma, Rais Dr John Pombe Magufuli kuna wakati pale pale uwanjani aliingia ndani ya gari fulani akabadirisha TAI kwa haraka sana ndani ya muda mfupi sana kutoka NYEKUNDU na kuvaa PURPLE.
 
Back
Top Bottom