VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Katika kile kinachoonesha kuwa majipu ya UDSM yapo tayari kutumbuliwa,Rais Magufuli leo anatarajiwa kuitikisa jumuiya ya UDSM.
Kwa mujibu wa ratiba ya mapema kuhusu ziara ya Rais chuoni hapo,Rais alipaswa kuzindua tu jiwe la msingi la Maktaba ijengwayo kwa msaada wa Serikali ya China na kuondoka.
Lakini,Rais amebadili ratiba yake. Badala ya ratiba ya mwanzo,Rais atazungumza na wafanyakazi pamoja na wanachuo wote. Tayari,kulingana na taarifa za ndani,uwanja umeshaandaliwa kwa Rais kuhutubia.
Wale wote wenye majipu UDSM wakae chonjo. Mtumbuaji amewasikia,amewafikia. Nami nitakuwepo kushuhudia!
Mzee Tupatupa wa 'Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam