Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,829
- 33,224
Kumbe barabara ni kwaajili ya viongozi na siyo wananchi na viongozi waoTetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.
Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.
Raisi Magufuli shikamoo.