Rais Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki, barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana

Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.

Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.

Raisi Magufuli shikamoo.
Safi sana
 
Mwaka 1963, nikiwa kwenye msafara wa mwalimu, tulitemveoea shamba darasa kwenye kijiji fulani huko kusini, shamba lilikua limenawili sana, basi mwalimu akashika mche mmoja wa mhindi, kuvuta kidogo tu mhindi ukachomoka, kumbe lile lilikua shamba fake,mahindi yaling'olewa sehemu na kuja kupandikizwa hapo, kwa ajili tu ya ziara ya rais.
mwl alijua Siri si bure
 
Duhh mbona mimi Niko temeke na hizo taarifa za ziara ya JPM sina??
 
Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.

Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.

Raisi Magufuli shikamoo.

Hizi promo za kitoto sana,yaani fedha ziwepo,magari yapo halafu kazi zifanyike kisa Magufuli hajatembelea eneo husika ?.Ebu punguzeni promo za kitoto.
 
Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.

Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.

Raisi Magufuli shikamoo.
Rais wenu mpitisheni mitaa ya Temeke Sudan ajionee maajabu ya jiji la Makonda.
 
Natamani akitua tuu aondoke na yule mtaalam aliye kuwa ana bishana na Dc Gondwe kama mchumba wake.
Nilijisikia vibaya sana alivyo kuwa ana jibizana na Dc. Hana heshima kabisa.
Natamani angeingia ang aza Sabaya au Kennan unge kuta ndio ana malizi amalizia masaa yake 48. Na kazi sio wilayani kwake tena.
Kwani ukiwa DC unakuwa malaika ?
Ebu acheni ulimbukeni
 
Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.

Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.

Raisi Magufuli shikamoo.
Unalalamika nini endelea kupiga vigelegele , makofi kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu yesu wa CCM , mungu wa CCM na kijani kibichi , uchumi wa kati huku bado mnakwangua barabara halafu mnadai ndio mnatengeneza , nyinyi si ndio watetezi uchwara wa awamu hii endelea kupiga vigelegele .
 
Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.

Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.

Raisi Magufuli shikamoo.
Ndio maana mkuu wa Wilaya povu kama lote
 
Mwaka 1963, nikiwa kwenye msafara wa mwalimu, tulitemveoea shamba darasa kwenye kijiji fulani huko kusini, shamba lilikua limenawili sana, basi mwalimu akashika mche mmoja wa mhindi, kuvuta kidogo tu mhindi ukachomoka, kumbe lile lilikua shamba fake,mahindi yaling'olewa sehemu na kuja kupandikizwa hapo, kwa ajili tu ya ziara ya rais.
Ndiyo tabia za watawala wetu wengi
 
Natamani akitua tuu aondoke na yule mtaalam aliye kuwa ana bishana na Dc Gondwe kama mchumba wake. Nilijisikia vibaya sana alivyo kuwa ana jibizana na Dc. Hana heshima kabisa.

Natamani angeingia ang aza Sabaya au Kennan unge kuta ndio ana malizi amalizia masaa yake 48. Na kazi sio wilayani kwake tena.
DC alijaribu kumstihahi kwa sababu anamfahamu lakini jamaa aliuwa hana adabu
 
Back
Top Bottom