TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,344
- 858
Hahahaa.....ama kwa hakika wewe ni tindo.....uwe na wakati mwema kiongozi.....Namuweka vizuri huyo tapeli ndio maana hajarudi tena.
Safi sanaTetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.
Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.
Raisi Magufuli shikamoo.
mwl alijua Siri si bureMwaka 1963, nikiwa kwenye msafara wa mwalimu, tulitemveoea shamba darasa kwenye kijiji fulani huko kusini, shamba lilikua limenawili sana, basi mwalimu akashika mche mmoja wa mhindi, kuvuta kidogo tu mhindi ukachomoka, kumbe lile lilikua shamba fake,mahindi yaling'olewa sehemu na kuja kupandikizwa hapo, kwa ajili tu ya ziara ya rais.
Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.
Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.
Raisi Magufuli shikamoo.
Rais wenu mpitisheni mitaa ya Temeke Sudan ajionee maajabu ya jiji la Makonda.Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.
Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.
Raisi Magufuli shikamoo.
Kwani ukiwa DC unakuwa malaika ?Natamani akitua tuu aondoke na yule mtaalam aliye kuwa ana bishana na Dc Gondwe kama mchumba wake.
Nilijisikia vibaya sana alivyo kuwa ana jibizana na Dc. Hana heshima kabisa.
Natamani angeingia ang aza Sabaya au Kennan unge kuta ndio ana malizi amalizia masaa yake 48. Na kazi sio wilayani kwake tena.
Unalalamika nini endelea kupiga vigelegele , makofi kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu yesu wa CCM , mungu wa CCM na kijani kibichi , uchumi wa kati huku bado mnakwangua barabara halafu mnadai ndio mnatengeneza , nyinyi si ndio watetezi uchwara wa awamu hii endelea kupiga vigelegele .Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.
Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.
Raisi Magufuli shikamoo.
Mnaboresha ofisi za wahayasudan magreda yako kazini
Ndio maana mkuu wa Wilaya povu kama loteTetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke.
Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi.
Raisi Magufuli shikamoo.
Duhh mbona mimi Niko temeke na hizo taarifa za ziara ya JPM sina??
Tupo bize kidogo na chattle mkuuTemeke NI moja ya manispaa chafu kabisa
Ndiyo tabia za watawala wetu wengiMwaka 1963, nikiwa kwenye msafara wa mwalimu, tulitemveoea shamba darasa kwenye kijiji fulani huko kusini, shamba lilikua limenawili sana, basi mwalimu akashika mche mmoja wa mhindi, kuvuta kidogo tu mhindi ukachomoka, kumbe lile lilikua shamba fake,mahindi yaling'olewa sehemu na kuja kupandikizwa hapo, kwa ajili tu ya ziara ya rais.
Hao watendaji wanapewa vifaa? budget inapitishwa hazina hawapeleki fedha unategemea watendaji watumie fedha zao wenyewe? hilo eneo kuna RC, RAS, RSO, DC, DAS, DSO, DED na Mwenyekiti wa council unadhani wao hawaoni hayo mambo?Watendaji wa serikali wengi hawako makini
Hivi na wangapi amekwisha wapeleka marekani?!! ngoja anakuja mkuluMarahaba kwa niaba. Nasi tunataka aje tegeta alipoomba sana kula aone uongo Wa gwajiboy barabara mbovu sana kuliko kipindi cha halima
DC alijaribu kumstihahi kwa sababu anamfahamu lakini jamaa aliuwa hana adabuNatamani akitua tuu aondoke na yule mtaalam aliye kuwa ana bishana na Dc Gondwe kama mchumba wake. Nilijisikia vibaya sana alivyo kuwa ana jibizana na Dc. Hana heshima kabisa.
Natamani angeingia ang aza Sabaya au Kennan unge kuta ndio ana malizi amalizia masaa yake 48. Na kazi sio wilayani kwake tena.