Rais Magufuli kupenda Kusafiri sehemu nyingi na mara kwa mara na TISS DG Kipilimba kuna maana gani Kiutendaji?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Hivi na Marais wengine nao kuanzia Hayati Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walikuwa wakisafiri hivi na Wakurugenzi wa TISS akina Kitine, Mahiga, Kombe, Mwang'onda na Othman popote pale walipokuwa wakienda / wakisafiri iwe ni ndani kama si nje ya Tanzania au huu ni Utaratibu mpya tu uliobuniwa pekee katika Awamu hii ambayo imeonekana kuwa inataka Kuonyesha tofauti Kubwa na Awamu zote zilizopita?

Tujadili.
 
Hivi na Marais wengine nao walikuwa wakisafiri hivi na Wakurugenzi wa TISS au huu ni Utaratibu mpya tu?

Hivi uwezi kuangalia tu mambo mengine na ukayaacha yapite?
kukiwa na ugen ktk inchi wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama lazima waalikwe hilo ni moja

na pili yule ni mkuu wa inchi sasa shida iko wapi na mkuu wa usalama akienda alipokuwa mkuu wa inchi?
mambo mengine sio ya kuhoji jaman
 
Mkuu wa kikosi cha wasiojulikana hakuwepo mbona
 
Hivi uwezi kuangalia tu mambo mengine na ukayaacha yapite?
kukiwa na ugen ktk inchi wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama lazima waalikwe hilo ni moja

na pili yule ni mkuu wa inchi sasa shida iko wapi na mkuu wa usalama akienda alipokuwa mkuu wa inchi?
mambo mengine sio ya kuhoji jaman

Duduna kabisa Wewe mbona TISS DG huwa anakuwepo katika Hafla zingine ambazo huwa kunakuwa hakuna Wageni wa Kimataifa / Marais? au nikuwekee hapa Mifano hai ili ujione ulivyo Duduna? Na nimeanzisha huu Uzi makusudi huku nikijua fika kuwa Maduduna kama Wewe hamtakosekana hapa ila huu Uzi hautaki Mtu Kukurupuka katika Kuuchangia kwani hapa kuna Akili kubwa inatakiwa Kuwasilishwa ambayo bahati mbaya baadhi yenu mmechangia na naona ni Watupu mno.
 
Ni lazima atembee nae, huyo ndio mtu anaejua usalama wa nchi kupitia wasaidizi wake na kumpatia rais moja kwa moja( live).

Si kwa kupigiana simu, na kama kuna hatua za kuchukua, rais atashauriana nae immediately.

Pia fahamu zama zinabadilika, kila kiongozi ana mtindo wake wa kuongoza nchi.

Hii sio big deal, as long as haikwamishi maslahi yako binafsi
 
Duduna kabisa Wewe mbona TISS DG huwa anakuwepo katika Hafla zingine ambazo huwa kunakuwa hakuna Wageni wa Kimataifa / Marais? au nikuwekee hapa Mifano hai ili ujione ulivyo Duduna? Na nimeanzisha huu Uzi makusudi huku nikijua fika kuwa Maduduna kama Wewe hamtakosekana hapa ila huu Uzi hautaki Mtu Kukurupuka katika Kuuchangia kwani hapa kuna Akili kubwa inatakiwa Kuwasilishwa ambayo bahati mbaya baadhi yenu mmechangia na naona ni Watupu mno.

wakati ufike watu jf muwe mnafanya vetting kidogo kwenye watu ambao wanajiunga ukiacha swala la umri
mtu kama huyu anaonekana kabisa hayuko sawa katika akili yake, unaleta hoja watu wanaleta mawazo yao ww unaanza kuleta mambo ya facebook kwenye jukwaa la watu wazima na akili zetu

kapilima ni mkuu wa TISS na Magufuli ni Mkuu wa inchi tatizo lako hapo ni lipi hata kama wakiwa pamoja kila sehemu?
huo ni wivu wa kike tu au ulitaka hiyo nafasi awe nayo babaako?
 
Ni lazima atembee nae, huyo ndio mtu anaejua usalama wa nchi kupitia wasaidizi wake na kumpatia rais moja kwa moja( live) .si kwa kupigiana simu, na kama kuna hatua za kuchukua, rais atashauriana nae immediately.
Pia fahamu zama zinabadilika, kila kiongozi ana mtindo wake wa kuongoza nchi.
Hii sio big deal, as long as haikwamishi maslahi yako bona-fide

watu wengine ni wakuwaacha tu waendelee na ujinga wao
 
wakati ufike watu jf muwe mnafanya vetting kidogo kwenye watu ambao wanajiunga ukiacha swala la umri
mtu kama huyu anaonekana kabisa hayuko sawa katika akili yake, unaleta hoja watu wanaleta mawazo yao ww unaanza kuleta mambo ya facebook kwenye jukwaa la watu wazima na akili zetu

kapilima ni mkuu wa TISS na Magufuli ni Mkuu wa inchi tatizo lako hapo ni lipi hata kama wakiwa pamoja kila sehemu?
huo ni wivu wa kike tu au ulitaka hiyo nafasi awe nayo babaako?

Hapa anaongelewa Kipilimba na siyo huyo Kipilima wako uliyemwandika hapa Pumbavu.
 
Hivi uwezi kuangalia tu mambo mengine na ukayaacha yapite?
kukiwa na ugen ktk inchi wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama lazima waalikwe hilo ni moja

na pili yule ni mkuu wa inchi sasa shida iko wapi na mkuu wa usalama akienda alipokuwa mkuu wa inchi?
mambo mengine sio ya kuhoji jaman
Kwaio unataka kwavile wewe unaangalia mambo na kuyaacha ndo unataka watu wote wafanye kama unavyofanya wewe? Mfano ungejibu swali lake ungevunjika kidole kwa ku type au?
 
Duduna kabisa Wewe mbona TISS DG huwa anakuwepo katika Hafla zingine ambazo huwa kunakuwa hakuna Wageni wa Kimataifa / Marais? au nikuwekee hapa Mifano hai ili ujione ulivyo Duduna? Na nimeanzisha huu Uzi makusudi huku nikijua fika kuwa Maduduna kama Wewe hamtakosekana hapa ila huu Uzi hautaki Mtu Kukurupuka katika Kuuchangia kwani hapa kuna Akili kubwa inatakiwa Kuwasilishwa ambayo bahati mbaya baadhi yenu mmechangia na naona ni Watupu mno.
Hats picha ya jumomg imewashinda jamani
 
Hivi na Marais wengine nao kuanzia Hayati Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walikuwa wakisafiri hivi na Wakurugenzi wa TISS akina Kitine, Mahiga, Kombe, Mwang'onda na Othman popote pale walipokuwa wakienda / wakisafiri iwe ni ndani kama si nje ya Tanzania au huu ni Utaratibu mpya tu uliobuniwa pekee katika Awamu hii ambayo imeonekana kuwa inataka Kuonyesha tofauti Kubwa na Awamu zote zilizopita?

Tujadili.
Dikteta yeyote yule huwa ni muoga hatari. Anakuwa na nguvu akiwa amezungukwa na polisi, jeshi na hao akina Kapilimba. Ni muoga anaogopa kuwa wanaweza kurubuniwa akawekwa pembeni. Magufuli ni muoga hatari utaona kipindi atakapokuwa anapelekwa mahakamani
 
Back
Top Bottom