Rais Magufuli Kuongea na waandishi wa habari Ikulu, Dar Es Salaam

Status
Not open for further replies.
Leo saa 5:30 asubuhi waandishi wa habari wameitwa Ikulu kuongea na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli.
Kiukweli Rais ndiye anahitaji kuongea na waandishi wa habari sio wao kuongea naye, kama unavyoona wameitwa kwa kushtuliwa, hata hawajui waliloitiwa lakini Mhe. Rais anafahamu alichowaitia. Kama kweli waandishi ndo wanataka kuongea na Rais, watwambie wanaenda kuongea nini naye.
 
Nipo Maeneo Haya haya ngoja nitege vizuri Antena zangu.. Ukisikia Jina la Ibrah basi nishapewa wizara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom