Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

Rais Magufuli amesema kuna mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.

Rais Magufuli amesema huyo mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika.

Bado najiuliza ni nani huyo? Au ni katika wale 19?

Maendeleo hayana vyama!
Kwani wale 19 wana sifa za kuteuliwa kuwa mawaziri kadri ya katiba ya tanganyika
 
Rais Magufuli amesema kuna mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.

Rais Magufuli amesema huyo mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika.

Bado najiuliza ni nani huyo? Au ni katika wale 19?

Maendeleo hayana vyama!
Wa Lindi Kilwa kwa Bwege
 
Wewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!

Kama ni hivyo Bensaa8 angekuwepo mpaka leo.
 
Ngoja nikupe taarifa kidogo. Enzi hizo kama unafaulu vizuri form 4 ulikuwa unachukuliwa moja kwa moja kwenda chuo cha ualimu. Hivyo yeye aljfaulu vizuri ndiyo maana alienda moja kwa moja Chuo cha Ualimu huko Iringa na baada ya hapo akaenda kufundisha then UDSM. Zamani wote waliokuwa wanaenda vyuo vya ualimu lazima awe kipanga mkuu!
Ilikuwa inaitwa " A" Level with education.......3 years!
 
Mbona wako wengi tu ndani ya maccm ikiwemo wewe na master degree yako na Phd.
PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! | JamiiForums
RIP
1607538577269.jpeg
 
Ungejiuliza sifa ya kuwa dereva ni ipi?
Kuna madereva waliotumbuliwa kwa kuwa na vyeti feki ingawa ameendesha gari miaka 25 bila ajali.

Nilidhani ni kosa kwa wote ila kumbe kuna wale wanaoruhusiwa kughushi vyeti ili mradi hawadhuru mtu yeyote!
Rais Magufuli amesema kuna mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.

Rais Magufuli amesema huyo mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika.

Bado najiuliza ni nani huyo? Au ni katika wale 19?

Maendeleo hayana vyama!
 
Acha uongo! Waulize wanafunzi wake pale Sengerema Sec. watakuambia hali halisi ya Rais Magufuli alivyokipanga kichwani hata wale waliofanyakazi naye pale Nyanza watakueleza hali halisi alivyo intelligent!
Utendaji wake was kazi tu unaonyesha kichwani Yuko vizuri Sana
Wala si la kuuliza kwa Mtu
NI Mtu anayeona hatua Mia moja mbele
Watu wengi vilaza huwa wanaangalia leo tu
 
Acha uiongo bwashee.

Ualimu wa Mkwawa ilikuwa unapiga A level 2 years na unaongeza mwaka mmoja wa education kama ilivyokuwa Shycom kwa walimu wa masomo ya biashara!
Waliokuwa wanajiunga vyuo enzi hizo walikuwa hawana ufaulu wa masomo matatu,hivyo walijiunga kwa kilichoitwa "half combination".Jiwe alipungukiwa sifa hiyo na kwenda kwa"nusu kombi".
 
Hapo ndiyo huwa nina kosa maana ya upinzani unapoamua kupinga kila kitu hata kama kipo sawa! Mbona Shule ya JPM iko vizuri, wazi tena hapa hapa Tanzania! Inafaa sana mkitoa hoja mbadala, kuliko viloja!
Jina lako linasaliti ulichokiandika. Umeshawahi kumtembelea mjomba wako kule jumba kuu jeupe tangu aukwae urais!?
 
Wewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Acha mzaha wewe! Hii hii udsm "jalalani university"! Kuna kitu gani kizuri kinaweza kutoka jalalani!?
 
acha kua mjinga na mbumbavu elimu Raisi wetu john . sio ya mashaka nenda UDSM utaona
Jina lako linasaliti ulichokiandika. Vipi mjomba wako aliwahi kukukaribisha kule jumba kuu jeupe tangu aukwae urais!?
 
Back
Top Bottom