Rais Magufuli: Kuna baadhi ya vijana shuleni wamekuwa na viburi, ningetamani viboko viwepo kweli kweli

Hivi anafahamu Kauli zake tata zina madhara kiasi gani?

Halafu kwanini huwa anashabikia sana viboko? seems like a very desperate sadist!

Hakuna anayependa wanafunzi wawe na viburi, lakini kuna namna bora ya kushughulika nao! They are not animals.

Kwa mwaka tu kuna cases zaidi ya hamsini za vifo vya wanafunzi vinavyotokana na viboko! Yeye haoni hilo kuwa ni tatizo!?

What the HELL is this sadistic bulldozer up to!?

Anataka kuamrisha wanafunzi wauwawe? maana hashindwi kitu huyu mtanganyika shupavu!
Suala la viboko limefanyiwa tafiti nyingi labda tuseme tafiti hazina maana.
 
Mpaka namaliza form six nilikuwa sijui idadi ya viboko nilivyochezea shuleni.

Lkn dunia ya sasa eti mwanafunzi anafika form 6 amepigwa fimbo 13, fimbo 1 kila mwaka kuanzia darasa la kwanza.

Haya si masihara haya?

Hata bible inasema usimnyime mtoto fimbo
Sasa kwanini ulikuwa unapigwa fimbo kila
Siku lakini hukomi? Shida yako ilikuwa nini, ulikuwa na mtindio wa ubongo? Au ndio kiburi kama anavyosema muheshimiwa?
 
Actually nina uwezo wa kukuzaa wewe na baba yako kwa pamoja.

Utulize hicho kinyeo chako na unisome kwa makini wakati mwingine kabla ya kunikurupukia!
Kuna uwezekano kwamba wewe huna kinyeo?Ulishawahi kukituliza?Hapa ndipo napata kiwango Cha elimu yako.Hata jina pia linasadifu kichwa chako.
 
Ameona wapi viboko vinaongeza maadili?

Kama viboko vinaeffect ya kuongeza maadili mema.
kwa muda uliopita tangu wameanza kutumia viboko basi mpaka muda huu kungekuwa hakuna maadili mabovu.

Lakini hakuna tofauti yoyote na bado wanaendeleza tamaduni za viboko shuleni.
Wamekosa solution nyingine.

Then utakuta mtu anajisifia kupigwa viboko seriously?
Sasa hapo kuna tofauti gani kati ya wewe na ng'ombe?
Sababu ng'ombe hana akili ndio maana haelewi vipi wewe binadamu?

Hii ni dalili tosha asilimia kubwa ya africans hawana tofauti na kuku.
Vichwa vikubwa ubongo wa kuku.
 
Mizungu ndio mishoga na misagaji mingi hadi wakaruhusu ndoa za jinsia moja waafrika kiboko ndio kinainyoosha ikae sawa ukiona maeneo yenye shida ya mtoto mishoga na misagaji wanatoka makabila ya puani kama mombasa .pwani na Dar na Zanzibar na jamiii za mitaani ambako viboko kwao kupiga Watoto mwiko

Anyway viboko ni moja ya sababu ya wazazi kupeleka Watoto shule za private ambazo hadi kesho viboko viko palepale ndio maana hata kufaulu kwao kuko juu kuliko shule za serikali ambaxo viboko walilazimisha vifutwe

Mungu mwenye aliagiza mtoto ruksa kumtandika viboko wazungu wanataka Watoto wa kiafrika waharibike kama wa kwao ambao sasa wameshashindikana
Ufaulu unachangiwa na viboko? Upo serious? Kwahiyo wasomi wa Tz wana ufaulu mkubwa kuliko wasomi wa nchi zingine sababu tuna viboko?

Kma viboko ndio kila kitu tungewazidi uchumi nchi zote duniani ambazo hazijui fimbo wala kufokeana.

Then ushoga hautokani na viboko..... ni eithor hormonal au influence tu ya mitandao but hamna correlation na viboko. Kuna shule iko Uganda inaitwa Ntare aisee kuna viboko sijawahi ona ndio alisoma Kagame na Museveni na mawaziri kma wote wa NRM lakini ndio shule inaongozwa kwa wanafunzi kuingiliana kinyume na maumbile Uganda nzima.

Sasa unaposema hii hoja nashindwa kuelewa unatoa wapi takwimu zako?
 
Tatizo hili la kushadadia viboko dhidi ya binadamu mwenzio km wewe eti wachapwe haliwezi kukuacha salama!! hii tabia ya kikoloni HASA iliyo kataliwa na babu zetu!!

chanzo chake ni kuwa inatokana na kulelewa na baba wa kambo!!! kwa Mama ambaye hana capacity ya kutulia na Mme mmoja!!!

Leo anakaa na huyu kesho anazaa na yule!!! keshokutwa yuko na nyarusare yaaani vurugu tupu!!! hapo mtoto anakosa upendo wa baba halisi, wenye kuamua hivi wao walifanyiwa unyama wanataka watoto wetu pia warithi unyama huo??

Angalia Madaktari wanakufa kwa covid kimya kimya tu!! basi Jiwe anafurahi eti anatangaza hkn Covid, ili kupunguza matumizi ya serikali!! wkt maskini ya Mungu Rais ana utalaam hafifu Wa kujua na kupembua suala la COVID!! haya ni matokeo ya viboko!!

Hiyo PCM fake walikufundisha hao hao wazungu walojua COVID !! Tena basi huyo huyo anaetaka viboko ndo Mwalimu alikuwa anatufundisha baadhi yetu wakawa vilaza!! leo wako hoi mtaani ni walevi!! sterss tupu!

Leo hii unawapinga waalimu wako hao hao tena walio kufundisha weye!!! unawasema eti hkn COVID??? ok!! umekuja na nini cha mbadala Cha kutukomboa au hata juhudi kidogo na majanga ya Covid ambacho walimu wako walikosea jibu ni Hakuna!!! ni ume ropoka tu kwa sababu ya jazba ya kumtoa Lisu Roho!!

Una bamiza wakulima na wafanya kazi wa serikali yetu eti mara wafanya kazi fake!! maraoooh! hewa!! ili upate hela ya kujenga uwanja wa ndege?? pia huu mpango wakusema eti hkn COVID ni uongo !!

unajua COVID ipo sana na tena inaua sana ila unataka wafe waTZ zaidi ili mfuko wa serikali hazina utune uibe na ukajenge chato!! hii ndo matokeo ya Elimu ya Kuchapwa sana viboko sasa unachapa mitaani!!

Wenzako wa shule za vipaji maalum!! ukinuna tu mwalimu anakupa KEKI na BISKUTI, hawana viboko ile kunnnuna na hkn mkimbizi aliyepatikana, sababu ni wema!

Raisi Umepewa Meno!! kageme hela huko nje ulete humu tule!! km alivo fanya Jemadari Mkuu Mwana wa Africa safi Kikwete!! na Mungu amzidishie maisha mema mara dufu!! wewe ulivo mweusi unatubana sisi pumbu na kuleta habari za viboko kwa vijana wetu !!!??? si upige wako?

Vitoto vyenyewe kutwa kucha vina njaa baba zao hawana hela!! vikimfia mwalimu?? Una dhani kwa akili zako hizo nani anapenda/kufurahia kupiga sijui kuchapa mwanadamu km yeye!! aki ua?? aone mahiti? wakati anajua kesho yake inamtegemea huyu?

Ina maana wazi kabisa hilo drs hukuelewa walimu wako walitaka nini!! kitu ile ili ukipeleke kwa jamiii na kitu hicho kizae matunda bora zaidi!! huyu aliye taka viboko Rais ni ZAO LA UPE alifundishwa na Waleee kina UPE.
 
Address the issue to the right channel raisi hawezi kushughulika na kero zake nenda kwa waziri husika.
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema siku hizi kumejitokeza tabia ya baadhi ya Vijana kuwa na viburi Shuleni, akisema anatamani viboko viwepo kweli.

Ameongea hayo wakati akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba na kueleza kuwa, hiyo ndio njia pekee ya kumsaidia mtoto ambaye hata hajafikia Adolescence (Balehe).

Vilevile, amewataka Walimu kutimiza malengo yao huku wakizingatia maadili ya kazi hiyo na kusema Mwalimu ni Mzazi.
 
Tatizo hili la kushadadia viboko dhidi ya binadamu mwenzio km wewe eti wachapwe haliwezi kukuacha salama!! hii tabia ya kikoloni HASA iliyo kataliwa na babu zetu!!

chanzo chake ni kuwa inatokana na kulelewa na baba wa kambo!!! kwa Mama ambaye hana capacity ya kutulia na Mme mmoja!!!

Leo anakaa na huyu kesho anazaa na yule!!! keshokutwa yuko na nyarusare yaaani vurugu tupu!!! hapo mtoto anakosa upendo wa baba halisi, wenye kuamua hivi wao walifanyiwa unyama wanataka watoto wetu pia warithi unyama huo??

Angalia Madaktari wanakufa kwa covid kimya kimya tu!! basi Jiwe anafurahi eti anatangaza hkn Covid, ili kupunguza matumizi ya serikali!! wkt maskini ya Mungu Rais ana utalaam hafifu Wa kujua na kupembua suala la COVID!! haya ni matokeo ya viboko!!

Hiyo PCM fake walikufundisha hao hao wazungu walojua COVID !! Tena basi huyo huyo anaetaka viboko ndo Mwalimu alikuwa anatufundisha baadhi yetu wakawa vilaza!! leo wako hoi mtaani ni walevi!! sterss tupu!

Leo hii unawapinga waalimu wako hao hao tena walio kufundisha weye!!! unawasema eti hkn COVID??? ok!! umekuja na nini cha mbadala Cha kutukomboa au hata juhudi kidogo na majanga ya Covid ambacho walimu wako walikosea jibu ni Hakuna!!! ni ume ropoka tu kwa sababu ya jazba ya kumtoa Lisu Roho!!

Una bamiza wakulima na wafanya kazi wa serikali yetu eti mara wafanya kazi fake!! maraoooh! hewa!! ili upate hela ya kujenga uwanja wa ndege?? pia huu mpango wakusema eti hkn COVID ni uongo !!

unajua COVID ipo sana na tena inaua sana ila unataka wafe waTZ zaidi ili mfuko wa serikali hazina utune uibe na ukajenge chato!! hii ndo matokeo ya Elimu ya Kuchapwa sana viboko sasa unachapa mitaani!!

Wenzako wa shule za vipaji maalum!! ukinuna tu mwalimu anakupa KEKI na BISKUTI, hawana viboko ile kunnnuna na hkn mkimbizi aliyepatikana, sababu ni wema!

Raisi Umepewa Meno!! kageme hela huko nje ulete humu tule!! km alivo fanya Jemadari Mkuu Mwana wa Africa safi Kikwete!! na Mungu amzidishie maisha mema mara dufu!! wewe ulivo mweusi unatubana sisi pumbu na kuleta habari za viboko kwa vijana wetu !!!??? si upige wako?

Vitoto vyenyewe kutwa kucha vina njaa baba zao hawana hela!! vikimfia mwalimu?? Una dhani kwa akili zako hizo nani anapenda/kufurahia kupiga sijui kuchapa mwanadamu km yeye!! aki ua?? aone mahiti? wakati anajua kesho yake inamtegemea huyu?

Ina maana wazi kabisa hilo drs hukuelewa walimu wako walitaka nini!! kitu ile ili ukipeleke kwa jamiii na kitu hicho kizae matunda bora zaidi!! huyu aliye taka viboko Rais ni ZAO LA UPE alifundishwa na Waleee kina UPE.
Fact
 
Back
Top Bottom