Rais Magufuli kukutana na Wachezaji wa Taifa Stars leo tarehe 19.10.2018 Ikulu ya Dar es salaam

Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Oktoba, 2018 atakutana na wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Mheshimiwa Rais amezidi kutengeneza hadhi ya Ikulu kama hapo awali tofauti na Mtangulizi wake ambapo hata wahuni walikua wakiingia Ikulu. Mfano mzuri Wabunge wa Arusha na Mbeya Mjini.

..hadhi ya IKULU ilipotea siku BABU SEYA alipokaribishwa kwa ZULIA JEKUNDU.
 
Kwa hiyo hao wabunge ni wahuni?????

Anyway kama timu ya taifa inaenda kuonana na jiwe walahi watafungwa Game zote mbili AFCON watasikia kwa Uganda tu Jiwe ni mkosi
Huyo ambaye hakuwa mkosi aliifikisha Taifa Stars kwenye mashindano yapi?
Ni katika utawala wa nani, ambapo Timu yetu ya Serengeti Boys ilifuzu na kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, huko Gabon?
 
Anatafuta namna ya kupoza mashabiki wa soka na sitashangaa kusikia katao mamilino kwa kila mchezaji.

Ndio maana jana nilileta mada nikasema viongozi wapimwe kwa kutazama dhamira zilizo nyuma ya matendo au maamuzi yao na si kwa kutazama matendo au maamuzi wanayofanya tu.
 
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Oktoba, 2018 atakutana na wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Mheshimiwa Rais amezidi kutengeneza hadhi ya Ikulu kama hapo awali tofauti na Mtangulizi wake ambapo hata wahuni walikua wakiingia Ikulu. Mfano mzuri Wabunge wa Arusha na Mbeya Mjini.
Ikulu ni mahali patakatifu..si pango la waongo, wanafki na watu wa matusi.
 
Natangaza kumuunga mkono Jiwe kwa kuongoza mashambulizi hatari ya Taifa stars kuifunga Cape Vede. Tuko pahala pazuri munoo.....Tutembee kifua mbere....Naunga mkono juhudi
 
Hiyo paragraph yako ya mwisho imeharibu taswira ya nia njema ya chakula hicho cha mchana
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Oktoba, 2018 atakutana na wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Mheshimiwa Rais amezidi kutengeneza hadhi ya Ikulu kama hapo awali tofauti na Mtangulizi wake ambapo hata wahuni walikua wakiingia Ikulu. Mfano mzuri Wabunge wa Arusha na Mbeya Mjini.
 
Anatafuta namna ya kupoza mashabiki wa soka na sitashangaa kusikia katao mamilino kwa kila mchezaji.

Ndio maana jana nilileta mada nikasema viongozi wapimwe kwa kutazama dhamira zilizo nyuma ya matendo au maamuzi yao na si kwa kutazama matendo au maamuzi wanayofanya tu.
Kila kitu kwako ni chuki za kisiasa tu, vingine bora hata usiwe una commenti, hivi unajua hata hamasa ya mpira tofauti na siasa za mitandaoni hizi?
 
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Oktoba, 2018 atakutana na wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Mheshimiwa Rais amezidi kutengeneza hadhi ya Ikulu kama hapo awali tofauti na Mtangulizi wake ambapo hata wahuni walikua wakiingia Ikulu. Mfano mzuri Wabunge wa Arusha na Mbeya Mjini.
Ikulu ya sasa iko chini ya mhuni na mtekaji mkuu bashite
 
Back
Top Bottom