singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
CCM HAITAWEZA KUFA NGO!Akikabidhiwa chama na akiendelea na huo moto wake basi ccm itakufa na upinzani utashamiri
OkCCM HAITAWEZA KUFA NGO!
NAFIKIRI ITAZALIWA UPYA! NA KUWA IMARA ZAIDI.
NA PIA SASA RAIS ATAKUWA NA MENO MAKALI ZAIDI /
ii
Yaani wewe una mtazamo kama wangu mkuu. Mi mwenyewe nahitaji upinzani imara. Tatizo CDM ambao ndo wameshikiria kamba ya upinzani nchini hawataki ushauri unaopingana na mawazo yao. Ukiwashauri jambo jema kama hilo la kumrudisha Dr Slaaa wanaishia kukutukana tuAkikathibiwa chama mapema, upinzani wanahitaji kufanya kazi ya ziada. Lakini washauri wenyewe kama ni Lowassa, Sumaye na Kingunge, CCM itapeta kiulaini sana.
Tunahitaji upinzani makini na imara ili Magufuli asilale usingizi. CDM wakubali kujishusha ili Dr. Slaa arudi kundini.
Wakati nafurahia kasi ya Magufuli, naelewa umuhimu wa upinzani wa kweli.
Yaani wewe una mtazamo kama wangu mkuu. Mi mwenyewe nahitaji upinzani imara. Tatizo CDM ambao ndo wameshikiria kamba ya upinzani nchini hawataki ushauri unaopingana na mawazo yao. Ukiwashauri jambo jema kama hilo la kumrudisha Dr Slaaa wanaishia kukutukana tu
Likiwezekana hilo basi chadema itazaliwa upya.Akikathibiwa chama mapema, upinzani wanahitaji kufanya kazi ya ziada. Lakini washauri wenyewe kama ni Lowassa, Sumaye na Kingunge, CCM itapeta kiulaini sana.
Tunahitaji upinzani makini na imara ili Magufuli asilale usingizi. CDM wakubali kujishusha ili Dr. Slaa arudi kundini.
Wakati nafurahia kasi ya Magufuli, naelewa umuhimu wa upinzani wa kweli.
Upinzani wa chini ya Lowassa, Kingunge na Sumaye?Akikabidhiwa chama na akiendelea na huo moto wake basi ccm itakufa na upinzani utashamiri
Kama CDM hawataki ushauri wenu si muwashauri ACT? Kwanini muwang'ang'anie CDM?Yaani wewe una mtazamo kama wangu mkuu. Mi mwenyewe nahitaji upinzani imara. Tatizo CDM ambao ndo wameshikiria kamba ya upinzani nchini hawataki ushauri unaopingana na mawazo yao. Ukiwashauri jambo jema kama hilo la kumrudisha Dr Slaaa wanaishia kukutukana tu
CCM itaimarika na upinzani utagawanyika kwani majipu yatakayotumbuliwa CCM yatakimbilia upinzani. Jiulize kiongozi gani mnzuri aliyetoka CCM kwenda Upinzani?Akikabidhiwa chama na akiendelea na huo moto wake basi ccm itakufa na upinzani utashamiri
Mbona nimetoa sababu mkuu, hebu rudi unisome tenaKama CDM hawataki ushauri wenu si muwashauri ACT? Kwanini muwang'ang'anie CDM?
Akikabidhiwa chama na akiendelea na huo moto wake basi ccm itakufa na upinzani utashamiri