Rais Magufuli: Kukaa hapa kwenye nafasi hii nimechoka kweli, kazi hii ni mateso, unaweza kujiuliza haya ni maisha gani, maisha haya ni magumu

Akijiuzuru tutamfuata na kumbeba kwa lazima kumrudisha kwenye kiti.
Na hata 2025 ikifika tutajaribu kumconsult Mbowe kwa gharama yeyote atakayotutajia, atupe mbinu ya kuendelea kukalia kiti miaka na miaka.

Mbona CHADEMA wanaweza CCM mnashindwa wapi?

Mbona hata CHADEMA tulishawahi kuwa na kifungu cha ukomo wa uongozi, lakini zilichezwa gymnastics - kikafutwa.
CCM si vibaya wakijifunza kutoka CHADEMA.
Huyu jamaa tumg'ang'anie aendelee kuirudisha nchi kwenye mstari.
Aisee kamrudishe sasa na 2025 aendelee kuongoza na hata milele
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom