Rais Magufuli kufungua Soko Kuu Mkoani Morogoro Leo Februari 11, 2021

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,560
2,000
Tuliwaambia kwamba huyu mtu ni saikatriki kesi mnapinga kijani kibichi , Sasa hivi rais wa nchi unafungua soko ? Gharama za msafara kwenda na kurudi huu ni uhayatwo kabisa .
 

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
24,804
2,000
Safi Sana haya ndio mambo tunataka kusikia.

Tanzania inafunguka vizuri kila mkoa sasa unakuwa unaweza kujiendesha vyema ,

Zile zama za kupeleka maendeleo sehemu flani tu sasa hakuna.

Tanzania yote ni yetu sote.
 

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,506
2,000
Sio kweli kuwa hawana miradi ya kuzindua ila miradi mingine wanaachiwa mawaziri, magavana, wakuu wa mikoa inatosha tu.
Rais ana mambo ya msingi ya kufanya zaidi ya huo uzinduzi wa kila siku.
Kwani katiba inamkataza kufanya hivyo? Ama kuna Sheria yoyote inazuia Rais asifungue Miradi?

Acha hizo mkuu
 

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,248
2,000
Jamaa linaogopa kifo cha risasi huku linafanya maigizo na corona,badala ya kuwahimiza watu waepuke mikusanyiko lenyewe linawakusanya;niwazi sasa limethibitishwa kuwa wakala wa m-kifo
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,974
2,000
Mh/ Rais kuna uchafu mwingi tu, omba kutembelea barabara za mji, Tungi, Kihonda, Lukobe na kwingineko
 

Fadhilim

JF-Expert Member
Feb 3, 2013
355
500
Kwani katiba inamkataza kufanya hivyo? Ama kuna Sheria yoyote inazuia Rais asifungue Miradi?

Acha hizo mkuu
Mkubwa hilo halipo kikatiba na wala usizungumzia suala la katiba kwa jinsi isivyofuatwa Tanzania katika nyanja zote za maisha.

Kuna miradi mingine ni ya kuwapa watu wake wa chini sio lazima yeye akafungue.
Ndipo twaweza uliza hata mataifa jirani kuwa kila mradi wenzetu anafungua rais?
 

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,724
2,000
Sidhani kama na marais wa nchi jirani na Tanzania wako bize kiasi hiki cha kila uchao uzinduzi wa miradi.
Shughuli zingine waachiwe mawaziri wenye dhamana kulingana na miradi yenyewe.
Ilisaidia pia kujua kama wakina Aika wanachukua vizimba alafu wanavikodisha mara 2 yake, na hiki ndicho nikichompendea mzee, hakuwa anaona tabu kuanza kuuliza ye mwenyewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom