Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 4,805
- 7,320
Kijiii gani?
Kijiii gani?
Jamani Morogoro kuna Covid-19. Chukueni taadhari
Hahah eti visima..Yaani Tanzania haijawahi kupata Rais wa hivi aisee na sidhani kama kuna mahali yupo yaani hadi kuzindua soko yeye daraja yeye barabara yeye visima yeye mashamba yeye duuuu
Kwani katiba inamkataza kufanya hivyo? Ama kuna Sheria yoyote inazuia Rais asifungue Miradi?Sio kweli kuwa hawana miradi ya kuzindua ila miradi mingine wanaachiwa mawaziri, magavana, wakuu wa mikoa inatosha tu.
Rais ana mambo ya msingi ya kufanya zaidi ya huo uzinduzi wa kila siku.
Kuna jamaa amessukumwa wakati akitaka kushiriki uzinduziYaani msafara wote huo kwenda kufungua soko tu! hizo fedha zingenunua madawati na kujenga madarasa mangapi?
Maendeleo Hayana Chama.Mh/ Rais kuna uchafu mwingi tu, omba kutembelea barabara za mji, Tungi, Kihonda, Lukobe na kwingineko
Kweli mkuu anazindua hadi visimaHahah eti visima..
Dikteta kaziniKuna jamaa amessukumwa wakati akitaka kushiriki uzinduzi
Mkubwa hilo halipo kikatiba na wala usizungumzia suala la katiba kwa jinsi isivyofuatwa Tanzania katika nyanja zote za maisha.Kwani katiba inamkataza kufanya hivyo? Ama kuna Sheria yoyote inazuia Rais asifungue Miradi?
Acha hizo mkuu
Ilisaidia pia kujua kama wakina Aika wanachukua vizimba alafu wanavikodisha mara 2 yake, na hiki ndicho nikichompendea mzee, hakuwa anaona tabu kuanza kuuliza ye mwenyeweSidhani kama na marais wa nchi jirani na Tanzania wako bize kiasi hiki cha kila uchao uzinduzi wa miradi.
Shughuli zingine waachiwe mawaziri wenye dhamana kulingana na miradi yenyewe.