Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,894
22,657
Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.

Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake

Zaidi. soma: Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

EN1SlFXXsAEy49Z.jpg
 
Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.

Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake

Ziara ya kikazi Zanzibar ni sawa, ila yeye kuhudhuria sherehe ya Mapinduzi si sawa, utaratibu wa maadhimisho ya sherehe ya mapinduzi ni wa kiboya unamdogosha na kumzalilisha Raisi wa Muungano - ambaye ndiye Raisi wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu
 
Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.

Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake

Hatimaye Wasiojulikana wamejisogeza Zanzibar...Wazanzibara jiandaeni kuanza kupotezwa!
 
Back
Top Bottom