Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi mkoani Pwani

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,506
55,029
Rais Magufuli kufanya ziara ya kutembelea Pwani kesho
5c8b99bf-938b-4953-baea-9adcb52fdcf7.jpg
 
Hii barabara ya Bagamoyo Msata hata Kikwete aliifungua kwa nn na yy anaenda tena kuifungua?
 
Dah! Afadhali ile barabara izinduliwe aisee....Natamani yale mabasi ya kaskazini yote yapite huko...Tanga,Arusha nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom