Kufuatia Chadema kufanikisha mikakati ya kuibana serikali juu ya masuala ya uchumi, serikali ya Magufuri imekubali yaishe na hivyo sasa pesa kurudi kupatikana. Kuanzia sasa pesa zitakuwa nyingi kwani mbano wako utapungua.Hatua zifuatazo zimeelezwa na myeteshaji wetu Mh Rais ameamua yaishe na hivy sasa
1. Pesa za OCS kurudi kama kawa,
2.Safari za nje kurudi kama zamani, kwani hii litafanya wabunge na watendjai kusafiri zaidi na kupta exposure na pesa ya kutumia zaidi
3.Wezi hawatafuatiliwa sana kwani pesa wanazo tanua zinachangumsha uchumi
4.Madawa ya kulevya kurudi kama zamani kwani pesa yake ilikuwa inaingia kwenye mzunguko nakuchangamsha uchumi
5.Vikao vya mipango au report na mikakati kuruhusiwa kufanyikia kwenye mahotel kama zamani, ili itachangia mzunguko wa pesa
6.Masuala ya manunuzi kufuta sharia ya zamani, kwa mfano kalamu ya sh elf 1 inanunuliwa elf 10
7. Shuguli za serikali kama ujenzi na mengineyo kufanywa na sector binafsi kama zamani..kama jingo bei halisi ni million 60 basi kwa mfumo huo wa zamani jingo husika litajengwa kwa million 200.Hiki cha ziada kinaingia kwenye uchumi na hivyo kuuchangamsha.
Asanteni CHADEMA,ASANTENI WAFADHILI KWA KUMBANA HUYU BWANA,HERA ZOTE ANAPELEKA KWENYE UWEKEZANI ANAZANI ATAMALIZA SHIDA ZOTE.SASA NEEMA KAMA ZAMANI