Rais Magufuli katumbua wote waliotia nia kasoro Godwin Kunambi

Hili suala limeathiri maisha ya watu wengi wasio na hatia. Si jambo Dogo kama linavyoonekana.
 
Aisee nadhani wewe Ndugu yangu hujui chochote kuhusu masuala ya utawala wa nchi..kuna political appointments na teuzi nyingine..wale wengine wanaomba ruhusa tu au pengine likizo bila mshahara..wale wa kisiasa ni tofauti..
The baseline is this:Ukishateuliwa mahali,iwe ofisi ya kisiasa au ajira ya serikali tulia hapo, chapa kazi umsaidie mkuu wako katika kazi aliyokupa.Kuonyesha tamaa kwa kuwania ajira yeyote ngingine ambayo mkuu wako hajakutuma kufanya ni kumdharau,kuto-onye heshimasha na kutokuaminika.Serikali au Chama haviwezi kukaa na watu wenye tamaa,wenye dharau,wasio na heshima kwa wakuu wao wa kazi na wasioaminika.
 
Back
Top Bottom