MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Rais wangu Dr. Magufuli umetuambia leo kuwa wewe ni Driver nzuri na una uhakika na safari tuliyoianza 2015 October.
Lakini katika lorry lako abiria wako kila mmoja ana lake wengine wanaangalia mbele, wengine nyuma, wengine wanataka kushuka na wengine wanashindwa kuvumilia speed yako lakini wewe una uhakika na hiyo safari kuwa tutafika salama.
Lakini Dr. Magufuli pamoja na kuwa driver mzuri lakini abiria wengi wanataka kushuka wasifike mwisho wa safari kwa speed uliyooanza nayo na barabara unayopita wanaona imekuwa shida kwao.
Je, ukifika mwisho ukabaki na lorry lisilo na abiria itakuwa ni sawa kweli?
Tufanyaje ili tufike mwisho na lorry liwe na abiria wote?