Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,983
tanga hajaenda, iringa, mbeya, rukwa, katavi, yye kila kukicha mwanza , mwanza, mwanzaLindi alienda nakumbuka alitoa order kivuko kiwekwe na mradi wa maji utekelezwe.
Mtwara alifika hadi Dangote na sasa hivi wanafanya installation ya gesi kwa amri yake.
Pemba/Unguja alienda.
Pwani amekwenda
Arusha/Manyara alienda na sasa hivi wanajenga ukuta kuzunguka mgodi.
Kigoma alienda kama mnakumbuka Zitto alitoa pongezi.
Mwanza, Kagera, Dodoma, Shinyanga kote kapita.
Acheni unafki aisee chuki hazijengi.
Sasa hivi yuko Singida