MUGASHA THE HERO
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 327
- 204
Rais John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mpya kwa kamteua Deogratius Ndejembi kuwa mkuu wa wilaya ya Kongwe na kumhamisha John Palingo kwenda wilaya ya Mbozi, baada ya aliyeteuliwa kuwa DC wa Mbozi Ally Maswanya kuomba uteuzi wake utenguliwe.