Rais Magufuli: Kama watu wanaona hii sheria ya Dawa za Kulevya haifai wakafanye amendment

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Hapa Rais Magufuli alimasnisha nini? Yaani iwe kali zaidi ili wahukumiwa wa madawa wanyonge kabisa au vipi?
Kauli hii ilikua ni ya Jana wakati akimwapisha Makamishna wa kupambana na Dawa za Kulevya.
 
Back
Top Bottom