Rais Magufuli: Kama una korosho na huna shamba hutalipwa

Hiyo ni sawana kusema kama una uza nguo na huna kiwanda hurusiwi kuuza au kama wewe siyo mvuvi huruhusiwi kuuza samaki au kama wewe ni dereva lakini gari siyo lako huruhusiwi kuliendesha
 
Nimeambiwa kwamba wafanyabiashara wengine hutoa Korosho Msumbiji. Wakati wenzetu wakenya na waganda hawazuii mazao ya kilimo toka kwetu kuingia nchini mwao, sisi tunataka kuwafanya watanzania wanaoingiza Korosho toka Msumbiji ni wahalifu.

Serikali inunue zile korosho tu za wakulima, zile zingine za wasio na mashamba waache wenyewe wazitafutie masoko!

kweli kabisa...mimi nimejaribu tuu kufikiri, kwamba mpakani ukipita na gunia unaiachia nchi hii kodi yake, unaenda kuliuza huko nchumbiji, unakuja na mahela ya huko unatumbua huku, unakuza mzunguko wa hela kwa kutumia hela ya nnje...hii si ndio itachochea kukua kwa uchum?? maana si elewi haya ma kubaniana kuuza nnje tunataka yatufikishie wapi
 
Kwa Magu anataka watanzania wote wawe na mtazamo kama wake kwenye moral values.

Serikari aiwezi kuingilia uhuru/makubaliano baina ya watu ili mradi matendo yao sio kinyume na sharia za nchi.

Wao kama wamejikita kusaidia wakulima wanunue basi za hao wenye mashamba, wengine waliozipata kwa mtindo mwingine wawaachie wajue watauza wapi.

Lakini si haki na wala sidhani kama ana mamlaka ya kisheria kuchukua mali za mtu kisa aliingia makubaliano na mkulima ambayo anadhani si haki kwa values zake tu, japokuwa hakuna sharia yoyote iliyovunjwa.

kweli kabisa
Kama hyo kanghomba ni kinyume cha sheria , wakulima wakaripoti hao madalali polisi kuwe na records wakamatane kesi ziendeleee....sio kuhukumiwa bila mashtaka wala malalamiko kwa jambo ambalo watu walikubalia kwa moyo mmoja
 
Tanzania hii practice ndio tatizo lakini huko kwengine capitalism iliposhamiri wanaita 'buying hedge/futures' ni practice za kawaida kabisa for risk takers na inamfanya mkulima nae awe na guarantee ya mapato.

Kasheshe sasa litokee natural disaster kama mafuriko, moto, hurricane,etc ujue imekula kwa kangomba.
 
Hakuna kuremba....neno sahihi hapa ni "serikali inadhulumu/inapora". Hii serikali inajijazia dhambi kila uchwao.
 
Mambo mengine ni kudhulumu watu tu. Kama Korosho zilinunuliwa kihalali kwa makubaliano kati ya Mnunuzi na Mkulima kosa ama tatizo liko wapi. Mbona wauza mahindi wengi siyo wenye mashamba ya mahindi.

Dhana ya biashara hapa iko wapi? Na wachuuzi iwe ni Kangomba ama wowote wale wanatokana na mfumo mbovu na mbaya wa masoko kwa mazao ya Kilimo nchini mwetu. Dunia nzima wauzaji wa mazao mara nyingi huwa si wakulima. La maana watozwe faini kwa kufanya biashara bila ya kuwa na leseni.

Mpaka 2025 watu wataelewana na naamini watu watakuwa maamuzi yanayofanana maana hakutakuwa na asiyeguswa
 
Allen Kilewella Nimekupa like kwenye post yako hapo juu kwa sharti kuwa huyo Dalali ama mfanyabiashara adhibitishe kuwa hizo korosho alizinunua Msumbiji na alifuata taratibu zote za kuingiza bidhaa hiyo (korosho) nchini, basi. Hapo ndipo aruhusiwe kuuza popote anapotaka.
 
Bnafc mm mtu unaweza kusema Rais hayuko sahihi lakini kwa jicho la tatu kuna Logic watu kuonesha mashamba kwa sababu km waliokuwa wanaweka mgomo ni hawa viongozi wa serikali ndo walikuwa wananunua Kangomba tena kwa kg Tsh.200! Sio sahihi jaman ni vile wengine tuko mjn hatulimi ila hyo ni unyama mtu kutumia shda yako km sababu ya kukukandamiza kungekuwepo na win win situation!
 
Hii haina tofauti na lumbesa au ile ya kubana mzani ili kumwibia mkulima. Mkulima always amekuwa victim wa hawa middlemen, ni bora serikali iweke regulations za kununua mazao kwa wakulima ikiwemo kuweka bei elekezi kwa kila zao na kukagua mizani zinazotumika kupima mazao hayo
 
Wengi tulijiuliza inakuwaje jeshi ndyo litumike kununua korosho wakati serikali inasecta maalumu ya ugavi na manunuzi.

Kwa haya yanayoendelea, sio ununuzi tena bali ni unyanganyi. Watu sasa wanakimbia na kuacha korosho zao. Yan mtu akikutana na zile sura za wajeda na silaha Zao lazima akimbie tu maana hawataki maelezo mara mbili mbili.

Kwa mwendo huu sidhani kma kutakuwa na usalma asee. Ndyo maana haya magar yanapata ajali kila kukicha kumbe korosho za dhuluma tu.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Somebody somewhere needs to be offloaded in order for the vessel to traverse smoothly through the turbulent seas failure of which the vessel would hit the rock bottom.
 
Allen Kilewella Nimekupa like kwenye post yako hapo juu kwa sharti kuwa huyo Dalali ama mfanyabiashara adhibitishe kuwa hizo korosho alizinunua Msumbiji na alifuata taratibu zote za kuingiza bidhaa hiyo (korosho) nchini, basi. Hapo ndipo aruhusiwe kuuza popote anapotaka.
Athibitishe na SIO Adhibitishe: bidhaa kama ya mazao inapoingizwa nchini mwako ni advantage kwako na kama una akili hata ndogo, hupashwi kuzuia labda kama hutaki kutumia akili.
 
Back
Top Bottom