Rais Magufuli kama kweli unatujali walalahoi tufungulie hili geti!

Suala na kimya ovyoo linachangiwa pia na vyoo vya kulipia. Oneday nimeingia dsm nipo Kariakoo mikono ikajaa, sikujua nitakojoa wapi. Nikajiabanaaaaa mwisho nikafuata reli nikajiachia. Siku iliyofuata nilijitahidi kukojoa nilikofia lkn pia sikunywa MAJI wala juice ya Misa hapo hkariakoo hadi niliporejea home. Mwishowe nikajua vyoo vya kulipia. Sasa shida kupata hivyo 200. Niliwahi deki feli pale kwa kukosa fedha ya kulipia.
 
Bustani za Mnazi mmoja ziwe wazi kwa wote kwa maana zilijengwa kwa lengo hilo na siyo kwa ajili ya matamasha.

Na hoja mfilisi kwamba sisi ni wachafu na tutakunya humo siyo ya kweli, hiyo ni enzi ya Nyerere na chuki yake dhidi yetu ndiye aliyefunga hiyo Bustani eti sisi ni wachafu, mbona Mwendokasi mlisema tutang’oa viti lkn hatujang’oa?

Tufungulie Bustani yetu, ulitutetea kuzuia Coco beach yetu isiuzwe, sasa zamu ya Bustani yetu Mnazi mmoja, Piga Vita Chuki tuliolelewa nayo dhidi yetu, ...
Tunakoelekea jiji lote la Dar es Salaam litanuka vinyesi.
Biashara za barabarani mchana na usiku; vyoo vyao ni mifereji kando ya barabara!

Hii ni changamoto kwa wataalamu husika eg ma-bwana afya, town planners, architects, civil engineers nk kwa miji yote ya Tanzania kutokana na sera zetu za kisiasa.

Misingi ya kitaalamu ya mipangomiji ikikiukwa huwezi kuzuia hizo changamoto na ufumbuzi wake ni mgumu bila kurudi kwenye basics.

Kwamfano ukiondoa au ukizinyan'ganya manispaa makusanyo ya kodi na ushuru watagharamia vipi huduma za usafi wa mazingira na huduma zingine za jamii? (Elimu, maji, barabara, afya, mazingira nk)

Upande mmoja manispaa wanawaongezewa changamoto za usafi wa mazingira na usfiri wa umma kwa kuruhusu biashara za barabarani. Upande wa pili wanapunguziwa wigo au kunyan'ganywa sehemu ya revenue yao (mamlaka yao kikatiba)!

Lakini si hivyo tu. Ukiamua kuwachagulia watu watawala (kuwanyima uhuru wa kujiamulia maisha yao kikatiba) au kujenga uhusiano mbovu kati ya Dola na wananchi; unajenga jamii isiyo na umoja, amani na haki. Kwa maana ya "kila mtu na lwake" (law of the jungle). Wahenga wanasema: "Force does make Leaders; but it also destroys them".
 
Ni Tanzania haijawahi kuwa na ,, rule of the jungle“? Hata wewe nyumbani kwako ni hivyo, rule of the jungle na wewe pia siajabu umelelewa hivyo kwa rule of the jungle sasa iweje utegemee nchi iwe tofauti?
 
Nakumbuka zamani tukipiga misele yetu town ikifika mida tunapumzika pale huku tukuangalia vimaji vikirukaruka kwenye vile vibeseni, ila sasa baada ya kuja kwa wingi ndugu zetu kutoka ukanda fulani wakafanya ndiyo makazi yao yakudumu, wakawa nanakunya kwenye mifuko ya rambo, wakaona haitoshi wakawa wanajisaidia ovyo ovyo, bustani tukaanza kuikimbia mwisho Wa siku thamani ya bustani ikapotea, na kwavile watendaji wetu walikuwa hawajui faida ya bustani wakajenga vikorokoro wanavyojua wao. Na ndivyo ilikua hivyo kwa maeneo ya wazi ya kucheza watoto wakabadili matumizi. Yaani ni shida.
 
Na watufungulie Barack Obama avenue tupite mbele ya Ikulu, wafunge usiku.

..hata ikulu imezibwa na uzio utafikiri ni gereza.

..walitakiwa waweke uzio ambao ni rafiki kwa wananchi wanaotembelea[ sightseeing] maeneo ya kihistoria.
 
Utoke kwenu mbagala uje kupumzika mnazi mmoja! Nani Alokuambia ulikuwa uwanja wa mapumziko?

Pia mjue mambo yanaenda yakibadilika. Ndio maana unazungumzia vituo vya mabasi kisutu. Na sasa hakipo tena. Kulikuwa hakuna Mall pale sasa hivi kuna bonge la Mall.

Tujifunze kubadilika na wakati tuwaze mbele sio mambo ya zamani
 
Tatizo wakiwafungulia mtaanza kuweka mameza na nini mwisho wa siku mikutano na makongamano tutafanyia wapi. Siku tukiwambia kuna kongamano mtupishe mtaanza kulalamika . Unakuwa kama huwajui wabongo
 
Nakumbuka zamani tukipiga misele yetu town ikifika mida tunapumzika pale huku tukuangalia vimaji vikirukaruka kwenye vile vibeseni, ila sasa baada ya kuja kwa wingi ndugu zetu kutoka ukanda fulani wakafanya ndiyo makazi yao yakudumu, wakawa nanakunya kwenye mifuko ya rambo, wakaona haitoshi wakawa wanajisaidia ovyo ovyo, bustani tukaanza kuikimbia mwisho Wa siku thamani ya bustani ikapotea, na kwavile watendaji wetu walikuwa hawajui faida ya bustani wakajenga vikorokoro wanavyojua wao. Na ndivyo ilikua hivyo kwa maeneo ya wazi ya kucheza watoto wakabadili matumizi. Yaani ni shida.

Balaa lote limeletwa na jamaa waliokuja Dar wakiwa watu wazima kama mzee mwenzangu Lemutuz alivyobainisha!
 
Utoke kwenu mbagala uje kupumzika mnazi mmoja! Nani Alokuambia ulikuwa uwanja wa mapumziko?

Pia mjue mambo yanaenda yakibadilika. Ndio maana unazungumzia vituo vya mabasi kisutu. Na sasa hakipo tena. Kulikuwa hakuna Mall pale sasa hivi kuna bonge la Mall.

Tujifunze kubadilika na wakati tuwaze mbele sio mambo ya zamani

New York Central Park ilijengwa miaka ya 1800 huko, mbona mpaka leo hii bado ipo? Ilijengwa kabla hata ya maskyscrapers ya Manhattan, ije kuwa hii ya kwetu ya juzi tu? Uliona wapi mji hauna Bustani ya watu kupumzikia?
 
Sijawahi kuona hiyo bustani ikiwa wazi maisha yangu yote, kwanza hata viwanja vya gymkana vilikuwa kwa ajili yetu kupumzika, akapewa Muzungu achezee golf na kuweka uzio.
Umekuja Dar Mwendokasi ishajengwa utaonaje?
 
New York Central Park ilijengwa miaka ya 1800 huko, mbona mpaka leo hii bado ipo? Ilijengwa kabla hata ya maskyscrapers ya Manhattan, ije kuwa hii ya kwetu ya juzi tu? Uliona wapi mji hauna Bustani ya watu kupumzikia?
Atajuaje huyo hata ajui park ni kwa ajili ya nini na square vipo kwa ajili ya nini. Anajua nini sehemu ya kupiga picha ili atume kwao mbwinde.
 
Tunakoelekea jiji lote la Dar es Salaam litanuka vinyesi.
Biashara za barabarani mchana na usiku; vyoo vyao ni mifereji kando ya barabara!

Hii ni changamoto kwa wataalamu husika eg ma-bwana afya, town planners, architects, civil engineers nk kwa miji yote ya Tanzania kutokana na sera zetu za kisiasa.

Misingi ya kitaalamu ya mipangomiji ikikiukwa huwezi kuzuia hizo changamoto na ufumbuzi wake ni mgumu bila kurudi kwenye basics.

Kwamfano ukiondoa au ukizinyan'ganya manispaa makusanyo ya kodi na ushuru watagharamia vipi huduma za usafi wa mazingira na huduma zingine za jamii? (Elimu, maji, barabara, afya, mazingira nk)

Upande mmoja manispaa wanawaongezewa changamoto za usafi wa mazingira na usfiri wa umma kwa kuruhusu biashara za barabarani. Upande wa pili wanapunguziwa wigo au kunyan'ganywa sehemu ya revenue yao (mamlaka yao kikatiba)!

Lakini si hivyo tu. Ukiamua kuwachagulia watu watawala (kuwanyima uhuru wa kujiamulia maisha yao kikatiba) au kujenga uhusiano mbovu kati ya Dola na wananchi; unajenga jamii isiyo na umoja, amani na haki. Kwa maana ya "kila mtu na lwake" (law of the jungle). Wahenga wanasema: "Force does make Leaders; but it also destroys them".
Kuna hoja ya msingi umeongea kwenye mapato na majukumu ya kuweka mazingora safi.
 
Back
Top Bottom