minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Mtukufu magufuli hana kumbukumbu yeye hukariri vya cyprian Musiba na polepole bila kutafakari huropoka matokeo yake ni kujidhalilishaHuyu Magufuli Mwalimu wa chemistry ni mbumbumbu sana lakini yeye anajiona ana akili sana. Memory yake ndogo sana halafu anadanganyika kirahisi na waliomzunguka.