Wewe Kama mtu anajiita kichaa unadhani ukiwa na akili timamu utawezaje kuelewa matendo yake na kauli zake ...labda uwe kichaa kama yeye 😂 😂 😂 😂Magu mara zote kwenye kampeini zake anasema waziwazi kuwa hakuleta maendeleo kwenye majimbo yaliyochagua upinzani.
Na bado anawatishia wapiga kura kuwa endapo watachagua tena wapinzani wasahau maendeleo kabisa endapo atashinda katika uchaguzi huu.
Cha ajabu mtu huyo huyo anahubiri kuwa maendeleo hayana chama,yaani ni vigumu kumwelewa mtu Hutu.
Nenda pale Lumumba , mlango wa Polepole uko wazi.Hivi anavyosema maendleo hayana chama na nyie mizezeta ya lumumba mnashanglia huwa ana maanisha nini??
Maana ya lobing sio hiyo anayoambiwa mdee afanyeUmenikumbusha chuoni, hii ni course kabisa inaitwa adivocacy and lobbying, hata upige kelele kiasi gani wananchi wanachotaka kuona ni impact yq hizo kelelem
Ndugu yangu usiwe kijana wa hivyo Muheshimu Mungu wako, tusiwe hatunazo kisa uchamaElewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.
LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.
Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandamana na kutiwa mahabusu.
Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Leo ni jumapili ya Octoba 18,2020 hii ikae kwenye kumbukumbu ya vizazi na vizazi vitakavyopitia JF .............."Rais wa awamu ya 5 John Magufuli,ameligawa taifa kwenye misingi ya kuchukiana na kubaguana kwa itikadi za kisiasa,machafuko yatakayotokea yana baraka zote za ccm na serikali yake....watanzania tumkatae huyu Baba,huenda sio mwenzetu"........Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani.
Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia yatarudi kwako.
Sasa basi, kuepusha dhambi, na kwakuwa jambo hili liligusa moja kwa moja maisha ya watu, ni vyema ukaomba radhi ili roho yako iwe nyepesi.
Mbunge anasema jambo ambalo linaathiri maisha ya watu kuwa kaliongea mara 15 bila utekelezaji. Je, ni chuki? Na kama ni chuki, tunaleteana chuki za kisiasa hadi kufikia hatua ya kuangamiza maisha ya watu? Kufanya watu wateseke?
Haya nimekuunganishia video ili uone kama utaamua kuomba radhi haya, maana jambo hili liliathiri maisha ya watu tena mara kwa mara.
Kuwa na akili basi!Ndugu yangu usiwe wa kijana hivyo Muheshimu Mungu wako, tusiwe hatunazo kisa uchama
Mkuu memory ya "nileteeni Gwajimaa, nileteeeeniii Gwaaajimaaaaa!!!" memory iko sawa ila ubaguzi na gubu vimemjaa, hukumbuki Morogoro alivoropoka kuwa "tatizo mnachagua wabunge kwa jazibaa, ningekua mbunge wa hapa ningeshatatua hili", akijua ni mbunge wa Chadema kumbe ni wa ccm.Mwenyekiti anatatizo la memory huenda hata 1mb haifiki
Lobbing? Pumbavu kabisa, unalob nini mbunge kwa serikali kuwaombea wananchi WANAOLIPA KODI kwa serikali ili barabara zitengenezwe?Elewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.
LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.
Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandamana na kutiwa mahabusu.
Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Wewe ndo kichwa zege brain.Lobbing? Pumbavu kabisa, unalob nini mbunge kwa serikali kuwaombea wananchi WANAOLIPA KODI kwa serikali ili barabara zitengenezwe?
Huo ndio upumbavu wa ccm tunaosema lazima iondoke, mambo hayaendi kisheria Ila ushikaji.
NDIO MAANA TUNASEMA SASA, HATUTAKI TENA RAIS MUONGO
Kutotumia spell check hakufanyi maana ya kilichosemwa kupotea kwa watu wenye uelewa mpana. Ukishindwa hilo tatizo lako.Wewe ndo kichwa zege brain.
Nani kaongea ati “lobbing”.
Mnatoka uchochoroni hata kuelewa kinachoongelewa hujui.
Kanywe chai karibu na sebule lako linalotazamana na choo cha passport size.
Mwisho wa ubaya ni aibu!! Magufuli muongo Kama walivyo wanaccm waenzake!! nasema ccm ni washamba!!Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani.
Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia yatarudi kwako.
Sasa basi, kuepusha dhambi, na kwakuwa jambo hili liligusa moja kwa moja maisha ya watu, ni vyema ukaomba radhi ili roho yako iwe nyepesi.
Mbunge anasema jambo ambalo linaathiri maisha ya watu kuwa kaliongea mara 15 bila utekelezaji. Je, ni chuki? Na kama ni chuki, tunaleteana chuki za kisiasa hadi kufikia hatua ya kuangamiza maisha ya watu? Kufanya watu wateseke?
Haya nimekuunganishia video ili uone kama utaamua kuomba radhi haya, maana jambo hili liliathiri maisha ya watu tena mara kwa mara.
Nawewe peleka ujinga wako lumumba!!Elewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.
LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.
Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandamana na kutiwa mahabusu.
Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Kweli hatufai atoke tu. Kumi imetosha aenede akamalizie kesi zakeElewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.
LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.
Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandamana na kutiwa mahabusu.
Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Hata Kama huna akili hivi wewe macho hauoni??Elewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.
LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.
Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandamana na kutiwa mahabusu.
Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Magu mara zote kwenye kampeini zake anasema waziwazi kuwa hakuleta maendeleo kwenye majimbo yaliyochagua upinzani.
Na bado anawatishia wapiga kura kuwa endapo watachagua tena wapinzani wasahau maendeleo kabisa endapo atashinda katika uchaguzi huu.
Cha ajabu mtu huyo huyo anahubiri kuwa maendeleo hayana chama,yaani ni vigumu kumwelewa mtu Hutu.
Msikilize kama hapa, mzee mzima anakosa hata aibu? Muongo na mnafiki?Cha ajabu pia watu wanasikia akitoa kauli za kibaguzi juu ya vyama vyao ambayo vipo kisheria bado watampigia kura.
Adhabu waliyoipokea kwa kuwatamkia yeye mwenyewe yafaa imrudie trh 28 Oct.
Watu mliochanganyikiwa mna matatizo makubwa kichwani.H
Hata Kama huna akili hivi wewe macho hauoni??
Angalia video halafu soma comments zako