Rais Magufuli, Kabudi, Makonda na Ali Bashiru sasa waone walikoifikisha nchi yetu

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
Kwa East Africa, Central na Southern Africa ni Tanzania pekee ndo imekula ban ya Marekani, na Wamefanya nchi yetu Sasa ionekane ya kikora sawa na Somalia, Libya na Eritrea...yan hata Burundi inaonekana ina afadhali..

Na Habari za Uhakika ni kuwa European Union na UK nao watafollow suit.

Basi, Magufuli, CCM, Kassim Majaliwa, Job Ndugai, Simon Sirro, Ali Bashiru, Makonda na wahalifu wengine wa Utawala wa Sasa watambue kuwa hapa ndo wametufikisha, wana legitimacy ya kuendelea kutuongoza? Nah
IMG_20200201_113315.jpg
 
Kadiri watakavyokuwa wanatoa matamko yao ya kijinga juu ya hii BAN ndipo watazidi kujiweka Kwenye hatari zaidi ....
Suala hili ni nyeti na linahitaji uweledi wa Hali ya juu Kwa upande wa diplomatic Ila kama tujuavyo huko Lumumba kuna wajinga kibao ambao watatoa matamko ya hovyo
 
Bora mjinga, kuna wapumbavu na mapunguani wengi na wajinga wachache
Kadiri watakavyokuwa wanatoa matamko yao ya kijinga juu ya hii BAN ndipo watazidi kujiweka Kwenye hatari zaidi ....
Suala hili ni nyeti na linahitaji uweledi wa Hali ya juu Kwa upande wa diplomatic Ila kama tujuavyo huko Lumumba kuna wajinga kibao ambao watatoa matamko ya hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa insta namsoma lekibamia nikabaki kucheka tu jamaa wanaweweseka
 
Tanzania imekula ban kivipi? Watanzania wote sasa hawaruhusiwi kwenda Marekani au?
Mkuu kwani Kazuiliwa Makonda peke yake Au Taifa zima?
Kuna Hiyo ramani hapo Juu mjumbe katupia Nchi zilizopigwa Ban 2018 na Nchi mpya Ban! Tanzania ikiwemo,
Sasa Kama Nchi tayari ilikuwa Imepigwa Ban? Ina maana gani kumpiga Makonda Ban wakati tayari ulishaipiga Ban Nchi yake?
Nieleweshe Mkuu!
Pia Nilisoma mahali flani Kuwa Ban haiusishi Watu wanaoenda Kwa Matibabu,Tourists, Business, na Work related!
Inahusisha Immigrants tuu!Sijui lottery...
Nisahihishe Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na Wehu wa Ndugai ila amewai kuonya kuhusu Makonda....
Mkuu hata gwajima aliwai sema na kumuomba Mh rais ampangie kazi nyingine na alionya kabisa kwamba mackonda ni bom mda wowote moto unaweza waka tafuta clip ya gwajima you tube IPO
 
Kwa East Africa, Central na Southern Africa ni Tanzania pekee ndo imekula ban ya Marekani, na Wamefanya nchi yetu Sasa ionekane ya kikora sawa na Somalia, Libya na Eritrea...yan hata Burundi inaonekana ina afadhali..

Na Habari za Uhakika ni kuwa European Union na UK nao watafollow suit.

Basi, Magufuli, CCM, Kassim Majaliwa, Job Ndugai, Simon Sirro, Ali Bashiru, Makonda na wahalifu wengine wa Utawala wa Sasa watambue kuwa hapa ndo wametufikisha, wana legitimacy ya kuendelea kutuongoza? Nah
View attachment 1343172
unachosema ni sahihi huyu waziri asiyekuwa na wizara maalumu anatukoroga vyakutosha, katunga sheria za madini zisizotekelezeka, kasababisha watu maelfu wamekosa ajira na hakuna alichoambulia. huko mambo ya nje wala hatuoni kinachoendelea ishu ndogo ya makonda ishamshinda, haya hawa wachimbaji kakomaa weee hata mia hajaambulia kutoka mgao wa noah hadi kupewa ada ya watoto wanne, ujinga mtupu. Tuliwaambia haya majamaa yaliyokulia nje ya mfumo wa ccm aka waliokatwa mikia watatufikisha pabaya ona sasa, niliwahi kusema mkichuma janga kuleni wenyewe.
 
Katika ukola huu muondoe Mh Kassim na Mama Samia, hawamo, sema tu walishaingia hawawezi kujitoa lakini ingekuwa matakwa yao wangejitoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwakweli huyu mama na kaka kassim wamekulia katika malezi mema sana, hao wakora tuwafurumue tu, mie alivyoondoka kinana kawekwa huyo makengeza na yule chakubanga nikaona ka gari limeacha barabara.
 
Back
Top Bottom