Rais Magufuli kaboresha hali ya maisha kifikra na kimwili

No retreat no surrender

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
1,898
2,000
Hivi pamoja na watu kulalamika hali ngumu mtaani, ebu niambie nani ametolewa vyombo nje ya nyumba kisa kakosa kodi?
Nani mtoto wake wa shule ya msingi hadi secondary za serikali karudishwa nyumbani kwasababu ya hada na michango?

Nani kaachwa na mme au mke wake kwasababu ya ukata( broke)?

Badala yake ndoa zimeimarika kwasababu watu wakitoka kazini mojakwamoja nyumbani hawapitii baa; si kwamba hawana hela bali nidhamu ya hela na kazi asichelewe kazini kesho na hangover.

Mnaweza kuongezea kusifia huzi huu!

Angalizo: Povu haliruhusiwi!
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
3,488
2,000
Unahitaji kupatiwa tiba ya haraka ya magonjwa fulani fulani hivi. Sitayataja kwa kweli. Ila dalili zinaonesha uko kwenye critical condition.
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
5,595
2,000
Nani katishiwa na mtu mitaani/barabarani kwa kuulizwa "unajua mm ni nani?". Viva JPM
 
Top Bottom