Rais Magufuli jiandae kupoteza kura milioni tano 2020

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Asilimia kubwa ya watumushi wa Umma hawakutaki, hii ni kutokana na Ubabe wako dhidi yao, kuwasumbua kila siku na Uhakiki, kutokuwapandisha madaraja na kutokuwaongeza mishahara. Vipato vyao bado ni duni sana pamoja na kuwa na tegemezi nyuma yao.

Mtumishi mmoja wa umma anaweza kuwa na wapigakura 10 nyuma yake ambao ni familia, ndugu, jamaa na marafiki.

Usipoiba kura, Jiandae kukabidhi nchi kwa Upinzani 2020.
 
Sizonje asilimia kubwa ya watumushi wa Umma hawakutaki, hii ni kutokana na Ubabe wako dhidi yao, kuwasumbua kila siku na Uhakiki, kutokuwapandisha madaraja na kutokuwaongeza mishahara. Vipato vyao bado ni duni sana pamoja na kuwa na tegemezi nyuma yao.

Mtumishi mmoja wa umma anaweza kuwa na wapigakura 10 nyuma yake ambao ni familia, ndugu, jamaa na marafiki.

Usipoiba kura, Jiandae kukabidhi nchi kwa Upinzani 2020.
Hata 2015 mlijipa matumaini na mtaji wa Lowassa ivyo ivyo...
 
watumishi wa umma ni wangapi?

watumishi wa umma ambao ni ccm ni wangapi?

tupe takwimu kusupport hoja yako.
 
Sizonje asilimia kubwa ya watumushi wa Umma hawakutaki, hii ni kutokana na Ubabe wako dhidi yao, kuwasumbua kila siku na Uhakiki, kutokuwapandisha madaraja na kutokuwaongeza mishahara. Vipato vyao bado ni duni sana pamoja na kuwa na tegemezi nyuma yao.

Mtumishi mmoja wa umma anaweza kuwa na wapigakura 10 nyuma yake ambao ni familia, ndugu, jamaa na marafiki.

Usipoiba kura, Jiandae kukabidhi nchi kwa Upinzani 2020.
HAHAHAHAH hii haina tofauti na ya yule mgombea aliyesema kuwa saa mbili asubuhi tuu atakuwa ameshinda uchaguzi wakati anajua fika vituo hufunguliwa saa mbili.
Sasa na wewe umekuja na comedy ya kura 5million wakati unajua hiyo idadi haipo kabisa
 
Milioni tano ni kura atakazopata kutoka kanda ya ziwa tu, nchi nzima itakuwa ni mafuriko!!
Kanda ya ziwa lipi? Labda lake chateau lkn km ni Victoria you are wrong brother maana tumeacha. Misaada tuliyo kuwa tukipata kwa wandugu walioko bongo imelatika completely. Huku njaa inatuua na nyie mna sema hakuna njaa. Jaribu pengine
 
Kwa kweli kama ni utashi ningetamani hata tusipoteze gharama hiyo ya kwenda kujiandikisha na kwenda kupiga hizo kura. Tuambiwe tu kuwa amepita.
Kama hadi leo, na machungu yoote bado kuna mtu anadiriki kumchagua mbunge wa ccm ka kibajaji, ndungai na musukuma, basi tujiachie watawale tu milele.
Watu wanaitwa Dodoma kwenda kula kuku na nyama choma mnadani na wale mashosti wa kisasa kutoka kila pembe ya Tz, ati tunaambiwa wapo kwenye bunge la bajeti. Hiyo ndo kazi ya mbunge wa ccm. Wakiingia asubuhi ni kulala tu bungeni na kuitikia ndiyoooo.
Tusisumbuliwe kwenda kupiga kura. Tuwakabidhi mlioko huko muendelee milele tu
 
Watumishi 600,000,tuseme hata kama watumishi 300,000 wakitunyima kura,na katika hao laki tatu kila mmoja ana ukoo wa watu 10,

bado watu milioni 3 hawawezi kututisha sana,
hao watakuwa covered na majeshi ambao nina hakika hawatatunyima kura,

pia watumishi TRA nao hawawezi kutunyima kura pia,,

hatuwezi kuacha kuhakiki eti kwa hofu ya kunyimwa kura,
kwanza una uhakika gani kuwa pana uchaguzi
 
Back
Top Bottom