mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Mwaka Jana tume ya utumishi wa mahakama iliajiri vijana 300 na kuwasainisha mikataba ya kazi na walianza kufanya kazi kwenye vituo vyao walisaini mikataba tarehe 01/06/2016 na walipewa pesa ya kujikimu walipofanya kazi mwezi mmoja walisimamishwa kazi kwa mda ili uhakiki ukamilike warudi kazini Leo hii ni mwaka sasa toka wasimamishwe kazi wapo nyumbani na wana Vyeti original je? Nini hatima ya kundi hili Kubwa Mbona Hawa hukuwaongelea Jana??? Nini hatima yao?