Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,789
Dr, Bana msomi maarufu na wa kuheshimika katika duru za siasa Tanzania, na kada mzuri wa CCM na ni mmoja ya waangalizi wa uchaguzi wa Zanzibar alitoa RAI wakati akitoa majumuisho ya ripoti ya uangalizi wa uchaguzi waliouangaza.
Pamoja na kukiri kuwa uachaguzi ulikuwa huru na haki alizungumzia pia mkwamo wa kisiasa visiwani na kutoa rai kuwa suluhu pekee itakayomaliza misuguano isiokwisha ni kuwa na serikali moja.
Rai hii awali ilpokelewa kwa hisia tofauti lakini kadiri siku zinavyokwenda, misuguano kuzidi kushamiri ndipo rai yake inavyozidi kuwa na mashiko.
Lakini kuifanya nchi kuwa ya serikali moja itaibua hisia kuwa Zanzibar imemezwa na kuweza kuleta purukushani za ndani ya vibuyu kwa vile hatotokea mtu atakae thubutu kupinga waziwazi hatua hiyo.
Kwa hivyo kuibakisha na kuihuwisha dhana ya kuwa Zanzibar ni nchi, basi Tanganyika lazima ivifanye visiwa hivi vitukutu kuwa Koloni lake rasmi. Hii pia itatoa nafasi na fursa hasa ya wale wanaoringia U-Zanzibari wao kupata "safety valve" ya kupumua na kuiona Zanzibar yao haijafanywa mkoa au Manispaa.
Hatua hii itaisaidia CCM Kuendelea kushika dola maisha kwa vile wataweza kukidhibiti chama cha CUF na FYOKO-FYOKO zake kuyalinda Mapinduzi kwa dahari na dahari na kuyazika MAZOMBIE.