Rais, Magufuli ingilia kati vita dhidi ya dawa za kulevya

Mfano bongo hapa umkute Kijana kakulia Ilala aweza kuwa anaswali sala tano na sigda juu labda ni mtangazaji Wa redio lakini lifestyle take utajua tuu huyu mtu Wa ngada. Vijana wa magomeni kkoo,tmk,kurasini,nymala,mkwajuni ukiona mara kaingia udalali mara ana gari kali mara bata sana ujue ngada tuu.
 
Back
Top Bottom