Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 768
Natumai mzima huko chamwino kwenye makazi yako mapya maana kwa habari tulizonazo wana mtandao ni kuwa umeamua kuhamia rasmi na ndugu zangu makao makuu oysterbay pale wiki ijayo asilimia 90% wanaondoka.
Na umewaambia ukirudi baada ya mapumziko ya sikukuu hutalitaka tena jiji letu pendwa ila umchukue na mtoto wako hapa tuletee Anthony tufanye nae kazi.
Turudi kwenye topic kama head inaposema hapo juu, nimeandika hivyo sababu nilichokiona watendaji wako hawakuambii ukweli sababu wewe hujaruhusu ukweli bali kuna watu wako uliowaamini ndio wanaokupotosha tena vibaya mno, maana washakusoma kuwa wewe ni mtu wa mikwara tu lakini kiundani ni mweupe.
Sikufichi hamna serikali inayopigwa kama yako tena inapigwa vibaya mno na watu wa karibu yako, ndio maana nakuambia Rais ajae ndiye atakayekuambia ufisadi wote unaofanyika katika serikali yako kama wewe unavyofanya majukwaani kwa wenzio.
Nimeona juzi umeongea kauli nyingi sana kwa Bwana Kebwe pale Morogoro kuonyesha kuwa kuna pigo alikuwa anazitengeneza, pia nimeona Waziri Mkuu akilia na TBA bado kule Mtwara alilia na hospital ya umma hayo ni madogo sana unapigwa tena vibaya mno, sababu umeruhusu wenye majungu ndio wawe karibu yako sisi tunaacha ila 2026 tutakukumbusha yote na kukuonesha.
Pia tutakukumbusha na ile 1.5 trillion + 2trillion + mikataba ya ndege.
Jioni njema mkuu wangu wa nchi.