Rais Magufuli ifikapo 2026 utashangazwa na mengi

Huenda tukawa na subira ila tu kama tuna unafuu wa maisha siku baada ya siku,Lakini mambo yamekaa vibaya sana hongera kiongozi wangu lakini ubadilike kulingana na upepo unavyokwenda ukiwa unawahudumia watu milion 60 jua kuna watu 43 million kuishi kwao ni kutegemea kile cha serikali imekaaje na wengine17million wanasononeka japo wanakula na hao ndo wapiga kura huku ccm million 10 na upinzani millioni 50.Ni hekima zaidi ikuongoze tena nI hii ya MUNGU BABA.Kazi njema na uchaguzi mwema tumia mathematics.
Imekuwa
 
Uzuri mmoja huu mtandao wa jf anao ila hajajiunga atasoma ulichoandika hapa amin nakuambia
 
kwa hiyo Rose garden na triple 7 kutapumua kidogo
Sio huko tu, afadhali wake na mademu za watu watapumzika..

Karma itarudi kwao, maana wamepigwa biti kuondoka na wake zao..

Wake zao watatafunwa kama njugu, vijana wa dsm hawatolaza damu..
 
Kwa hiyo mpaka 2026 utakuwa umekaa tu kusubiri Magufuli ashindwe ufurahie? Vipi familia yako inaendeleaje lkn usiisahahu kwa kukaa kusubiri Raisi wa nchi ashindwe, ...
Soma maelezo uelewe mada inasemaje,sio unacomment kama umepakatwa hapo lumumba
 
Soma bandiko taratibu mkuu.
Haya mambo tunakosea sana kuja na mentality ya vyama.
Kuna pumba zingine usipende kuzijibu MATAGA wengi humu hawana "Degree 4" watakupotezea muda tu.. wengi wao ni wale wanaoogea mtoni hawana hata mabafu kwao
 
Kwa hiyo mpaka 2026 utakuwa umekaa tu kusubiri Magufuli ashindwe ufurahie? Vipi familia yako inaendeleaje lkn usiisahahu kwa kukaa kusubiri Raisi wa nchi ashindwe
ACHA KDANGANYA WATU UNAFIKIR HATUJUI KAMA UNAISHI DAR KWA NGUVU ZA BASHA WAKO.
 
Huu uzi naona mko watu wa serekali wa idara mbalimbali mnamwaga nyepesi nyepesi. Na sisi kenge tuko kwenye msafara wenu wa mamba, ila tupo kwa nyuma ili tusionekane kama mamba wadogo.
Si umemsikia mzee leo anaulizia Lift zake pale ikulu
 
Mi naipongeza hii serikal maana kwa nilyoyaona nyuma yanatisha watu walikua na pesa za kununua serikal.. Cmahakama, wala polise, c wizala ya ardhi wala ya uhamiaji...
Ugaid uliokua unanukia mara mapango ya hamnon mara kbiti
Vituo vya polis kutekwa polc kuuliwa
Mabom kulibuka ovyo ovyo
.....
Si sasa... Najua naww unamapungufu yako lakin mazur n makubwa
 
Nyinyi wadada wa chama cha mashetani mna tatizo gani? Ni kwamba huwa hamsomi uzi au mnasoma ila uwezo wenu wa kuelewa ndio hafifu!!??
Kwa hiyo mpaka 2026 utakuwa umekaa tu kusubiri Magufuli ashindwe ufurahie? Vipi familia yako inaendeleaje lkn usiisahahu kwa kukaa kusubiri Raisi wa nchi ashindwe, ...
 
Natumai mzima huko chamwino kwenye makazi yako mapya maana kwa habari tulizonazo wana mtandao ni kuwa umeamua kuhamia rasmi na ndugu zangu makao makuu oysterbay pale wiki ijayo asilimia 90% wanaondoka.

Na umewaambia ukirudi baada ya mapumziko ya sikukuu hutalitaka tena jiji letu pendwa ila umchukue na mtoto wako hapa tuletee Anthony tufanye nae kazi.

Turudi kwenye topic kama head inaposema hapo juu, nimeandika hivyo sababu nilichokiona watendaji wako hawakuambii ukweli sababu wewe hujaruhusu ukweli bali kuna watu wako uliowaamini ndio wanaokupotosha tena vibaya mno, maana washakusoma kuwa wewe ni mtu wa mikwara tu lakini kiundani ni mweupe.

Sikufichi hamna serikali inayopigwa kama yako tena inapigwa vibaya mno na watu wa karibu yako, ndio maana nakuambia Rais ajae ndiye atakayekuambia ufisadi wote unaofanyika katika serikali yako kama wewe unavyofanya majukwaani kwa wenzio.

Nimeona juzi umeongea kauli nyingi sana kwa Bwana Kebwe pale Morogoro kuonyesha kuwa kuna pigo alikuwa anazitengeneza, pia nimeona Waziri Mkuu akilia na TBA bado kule Mtwara alilia na hospital ya umma hayo ni madogo sana unapigwa tena vibaya mno, sababu umeruhusu wenye majungu ndio wawe karibu yako sisi tunaacha ila 2026 tutakukumbusha yote na kukuonesha.

Pia tutakukumbusha na ile 1.5 trillion + 2trillion + mikataba ya ndege.

Jioni njema mkuu wangu wa nchi.
2026 sio mbali
 
Mi naipongeza hii serikal maana kwa nilyoyaona nyuma yanatisha watu walikua na pesa za kununua serikal.. Cmahakama, wala polise, c wizala ya ardhi wala ya uhamiaji...
Ugaid uliokua unanukia mara mapango ya hamnon mara kbiti
Vituo vya polis kutekwa polc kuuliwa
Mabom kulibuka ovyo ovyo
.....
Si sasa... Najua naww unamapungufu yako lakin mazur n makubwa
2029 utaandika hvihvi
 
Kwenye utekelezaji 2019 kina H Polepole nao wanaenda Dodoma yaani jiwe atapata nafasi ya kuvijua kina Polepole ni vibuku saba kweli Dar hakitatoka kile
 
Back
Top Bottom