Rais Magufuli ifikapo 2026 utashangazwa na mengi

Kwa hiyo mpaka 2026 utakuwa umekaa tu kusubiri Magufuli ashindwe ufurahie? Vipi familia yako inaendeleaje lkn usiisahahu kwa kukaa kusubiri Raisi wa nchi ashindwe, ...
Umeelewa kilichoandikwa? Unaelewa mile kivuko alichowapa wanajeshi kilinunuliwa kwa Euro million ngapi yeye akiwa ndio waziri wa ujenzi/miundombinu?

Wajinga wajinga tu wamepiga pesa ndefu wizarani mpaka watu wa Temesa.

Mnapoimba imba nyimbo za kusifu na kuabudu bakizeni walahu akili kidogo, Kibwetele aliweza kuwachoma moto wajinga kama wewe wasiotaka kuzitumia akili zao.
 
Natumai mzima huko chamwino kwenye makazi yako mapya maana kwa habari tulizonazo wana mtandao ni kuwa umeamua kuhamia rasmi na ndugu zangu makao makuu oysterbay pale wiki ijayo asilimia 90% wanaondoka.

Na umewaambia ukirudi baada ya mapumziko ya sikukuu hutalitaka tena jiji letu pendwa ila umchukue na mtoto wako hapa tuletee Anthony tufanye nae kazi.

Turudi kwenye topic kama head inaposema hapo juu, nimeandika hivyo sababu nilichokiona watendaji wako hawakuambii ukweli sababu wewe hujaruhusu ukweli bali kuna watu wako uliowaamini ndio wanaokupotosha tena vibaya mno, maana washakusoma kuwa wewe ni mtu wa mikwara tu lakini kiundani ni mweupe.

Sikufichi hamna serikali inayopigwa kama yako tena inapigwa vibaya mno na watu wa karibu yako, ndio maana nakuambia Rais ajae ndiye atakayekuambia ufisadi wote unaofanyika katika serikali yako kama wewe unavyofanya majukwaani kwa wenzio.

Nimeona juzi umeongea kauli nyingi sana kwa Bwana Kebwe pale Morogoro kuonyesha kuwa kuna pigo alikuwa anazitengeneza, pia nimeona Waziri Mkuu akilia na TBA bado kule Mtwara alilia na hospital ya umma hayo ni madogo sana unapigwa tena vibaya mno, sababu umeruhusu wenye majungu ndio wawe karibu yako sisi tunaacha ila 2026 tutakukumbusha yote na kukuonesha.

Pia tutakukumbusha na ile 1.5 trillion + 2trillion + mikataba ya ndege.

Jioni njema mkuu wangu wa nchi.
Unauhakika kua 2025 ataondoka? Nabadilisha katiba hamna nafasi mpaka nikifa. Na hapo nikifa mikoba atairisi mtoto wangu mpendwa
 
Mikosi inawezapungua ndani ya jiji letu kama kahama moja kwa moja kabaki bashite naye 2021 atakuwa waziri ataondoka hatutaki watu washamba tuacheni tule starehe kidogo bila stress, matamko mwisho Morogoro Mpaka Chato.
 
Huu uzi naona mko watu wa serekali wa idara mbalimbali mnamwaga nyepesi nyepesi. Na sisi kenge tuko kwenye msafara wenu wa mamba, ila tupo kwa nyuma ili tusionekane kama mamba wadogo.
 
Mikosi inawezapungua ndani ya jiji letu kama kahama moja kwa moja kabaki bashite naye 2021 atakuwa waziri ataondoka hatutaki watu washamba tuacheni tule starehe kidogo bila stress, matamko mwisho Morogoro Mpaka Chato.
Kwa hiyo akiondoka watu wa dar mtajipa kajamuhuri kenu??? Safi sana
 
Back
Top Bottom