kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 512
Mheshimiwa, mafaili ya watu hayaendi, watu kulipwa nishida sijui hela wanapeleka waki?
Mlundikano wama failing yanayo pashwa Ku sainiwa yapo tuu maofsini mwa wakurugenzi.
Sijui wanaona fahari kukaa nama faili ya wastaafu na wanaojitoa. Ni jambo lakushangaza sana marine hii, wakurugenzi kushindwa kuleta ufanisi maofsini na kulipa watu kwa wakati.
Watu wanadaiwa, wanataka kuwekeza kwenye kilimo na kufanya biashara ili kuongeza wigo mpana wa kodi kwa serekali yako. Na kuongeza mzunguko wa hela kwenye uchumi was nchi.
Hawa wanakuangusha na kukujengea huki na wastaafu.
Haiwezekani, MTU kaomba mafao yake tangia mwaka Jana mwezi wa nane paka leo hajalipwa. Vingizio mpito wakuunganisha mifiko, na wanasibiri kibari toka kwa waziri was fedha, sijui hiki na kile, niuongo mtupu. PSSSF has very poor customer care policy.
Linapofika swala la kulipwa mafao, Nikichefu chefu
Rais, wastaafu wako wananyanyaswa huku, ebu tumbua hawa watu wakurugengi, hawana ufanisi na kazi zao.
Hali ni mbaya wengine wanaumwa, wanaambiwa angalia akaunti, kumbe hela hana
Wanadanganya wastaafu wanalipa vizuri, uongo mtupu ni kero tupu mpaka kichefu chefu.
Mheshimiwa rais, wanakuongopea kwamba wanalipa. Watembelee, utakundua mambo haya endi mafaili yamejazana kwenye maofisi ya wakurugenzi na uhasibu sijui kwanini? ANGAZA HILI SHIRIKA NA SAFISHA KIONGOZI WANGU
NI HUJUMA TUPU.
Sent using Jamii Forums mobile app