Rais Magufuli iangezie PSSSF kuna mambo ya hovyo

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,396
2,000
Mheshimiwa, mafaili ya watu hayaendi, watu kulipwa nishida sijui hela wanapeleka waki?

Mlundikano wama failing yanayo pashwa Ku sainiwa yapo tuu maofsini mwa wakurugenzi.

Sijui wanaona fahari kukaa nama faili ya wastaafu na wanaojitoa. Ni jambo lakushangaza sana marine hii, wakurugenzi kushindwa kuleta ufanisi maofsini na kulipa watu kwa wakati.

Watu wanadaiwa, wanataka kuwekeza kwenye kilimo na kufanya biashara ili kuongeza wigo mpana wa kodi kwa serekali yako. Na kuongeza mzunguko wa hela kwenye uchumi was nchi.
Hawa wanakuangusha na kukujengea huki na wastaafu.

Haiwezekani, MTU kaomba mafao yake tangia mwaka Jana mwezi wa nane paka leo hajalipwa. Vingizio mpito wakuunganisha mifiko, na wanasibiri kibari toka kwa waziri was fedha, sijui hiki na kile, niuongo mtupu. PSSSF has very poor customer care policy.

Linapofika swala la kulipwa mafao, Nikichefu chefu

Rais, wastaafu wako wananyanyaswa huku, ebu tumbua hawa watu wakurugengi, hawana ufanisi na kazi zao.

Hali ni mbaya wengine wanaumwa, wanaambiwa angalia akaunti, kumbe hela hana

Wanadanganya wastaafu wanalipa vizuri, uongo mtupu ni kero tupu mpaka kichefu chefu.

Mheshimiwa rais, wanakuongopea kwamba wanalipa. Watembelee, utakundua mambo haya endi mafaili yamejazana kwenye maofisi ya wakurugenzi na uhasibu sijui kwanini? ANGAZA HILI SHIRIKA NA SAFISHA KIONGOZI WANGU
NI HUJUMA TUPU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,396
2,000
Wamekua watumishi wasio Kali wastaafu na wale wasio kua na ajira.
Hawa watu nao wanamahitaji ya familia zao, wana ada zakulipia watoto na wajukuu zao. Wanahitaji kuwekeza na lujitafutia kipato cha nyongeza.
Kupokea Michango hawana mlolongo, lakini kulipi mafao, nikero nabusumbufu was halo ya juu. Namna hii mutapataje wateja wapya, watapata hamasa gani toka kwa walio staafu na kubugudhiwa kiasi hiki. Au ndo wanataka wastaafu wafe? Haingii akirini kusema kuidhinisha malipo baada ya ukaguzi wa stakabadhi ichukue wiki tatu au mwezi tena kama sio uhuni was hali ya juu.
Walipeni watu wrote wanaodai mafao yao kwa wakati. Value for Money pose, shilingi ya leo sio ya kesho, na muda ni mali please. WALIPENI WATU MAFAO YAO, MWISHO WA MWEZI NDO HUU, WATOTO WAENDE SHULE, WAGONJWA WAKATIBIWE.
Sijui kama wakurugenzi wanajua kwamba niwa staafu was kesho na waingependa ucheleweshwaji huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,341

Hakuna Jambo magufuli asilolifahamu ... Hebu watupatie pesa zetuuuuu shetani hawa mwaka mzima tunahangaishwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
14,340
2,000
Unayemwambia ndiye ameshika fedha mkononi, ungetafuta soft language kuomba yeye akupe badala ya kumlalamikia anayetakiwa apewe ili akupe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom