MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,172
- 23,975
Kuna wabunge wengine wa KUCHAGULIWA wakisimama na kutoa michango yao unagundua kuwa wanalitendea haki bunge na taifa letu.
Kuna Mawaziri pia ambao wametokana na wabunge wa KUCHAGULIWA wakisimama kutoa michango yao unagundua pia kuwa hawakupaswa kuwa katika nafasi walizopo.
Huyu ni mmoja wa Mawaziri ambaye hakupaswa kuwa Waziri wa kilimo!
Rais naomba umpeleke katika Wizara inayomfaa kulingana na uwezo wake.
Ni ushauri tu kulingana na fikra zangu! Ukipenda chukua au achana nao!
VIDEO: